johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,801
- 141,702
Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa.
Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii.
Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema kwamba waziri mkuu mh Majaliwa amewaingiza katika kamati ya Kitaifa katibu mkuu wizara ya afya Zanzibar na mganga mkuu!