Shirika la afya Duniani lasena chanjo ya Corona itapatikana baada ya mwaka 1 au mwaka 1.6

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
6c273f620b72e0f1b8354b1d08014ae6
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Afya duniani amesema kwamba chanjo dhidi ya virusi vya cororna itapatikana ndani ya mwaka 1 au mwaka 1 na nusu. Shirika la Afya duniani (WHO) latoa maelezo kuhuiana na chanjo ya virusi vipya vya Corona Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani (WHO) amesema kwamba inahitajika zaidi ya mwaka au mwaka na nusu kuweza kuja na chanjo dhidi ya virusi vipya vya Corona ( Covid-19).

Akizungumza na wanahabari kupitia mkutano na wanahabari uliofanyika kwa njia ya video, mkurugenzi mkuu wa WHO alisema, “ Inahitajika zaidi ya mwaka au mwaka mmoja na nusu kutengeneza chanjo dhidi ya Covid-19, katika kipindi hicho tunakubali kwamba suala la kuwapatia tiba wagonjwa na kuokoa maisha yao ni suala muhimu”.

Ghebreyesus aliyekumbushia kwamba Covid-19 imeashaathiri takribani ya watu nusu milioni na kusababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 20 alisema,

“Hio ni habari mbaya lakini duniani kwa ujumla, mamia ya watu walisalia hai na kusalimika”

Ghebreyesus, akizungumzia juu ya upungufu wa vifaa vya kujikinga hasa kwa madaktari na wahudumu wa afya alisema, “ ni tatizo la ulimwengu mzima” na “Juhudi zao za pamoja wanazozifanya katika kuokoa maisha zinawaweka kwenye matata makubwa”.

Ghebreyesus alisema kwamba wametuma zaidi ya vifaa vya kujikinga milioni 2 kwa mataifa 72 yaliyokuwa na mahitaji makubwa zaidi na pia wameshafanya maandalizi kutuma vifaa tiba kama vilivyotajwa kwa mataifa 60 zaidi.

Ghebreyesus, aliongeza kwamba ushirikiano zaidi unahitajika kwani ili kuweza kutatua changamoto hiii inahitajika mshikamano na ushirikiano wa kimataifa.
 
Apimwe mkojo huyo, yeye sio mtafiti wala shirika lake halijawahi vumbua dawa, sasa anasemaje Mwaka? Au Anataka kupiga hela toka China na Marekani, hana lolote, badala ya kupambana kutafuta Dawa analeta maigizo na kutisha tisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6c273f620b72e0f1b8354b1d08014ae6
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Afya duniani amesema kwamba chanjo dhidi ya virusi vya cororna itapatikana ndani ya mwaka 1 au mwaka 1 na nusu. Shirika la Afya duniani (WHO) latoa maelezo kuhuiana na chanjo ya virusi vipya vya Corona Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani (WHO) amesema kwamba inahitajika zaidi ya mwaka au mwaka na nusu kuweza kuja na chanjo dhidi ya virusi vipya vya Corona ( Covid-19).

Akizungumza na wanahabari kupitia mkutano na wanahabari uliofanyika kwa njia ya video, mkurugenzi mkuu wa WHO alisema, “ Inahitajika zaidi ya mwaka au mwaka mmoja na nusu kutengeneza chanjo dhidi ya Covid-19, katika kipindi hicho tunakubali kwamba suala la kuwapatia tiba wagonjwa na kuokoa maisha yao ni suala muhimu”.

Ghebreyesus aliyekumbushia kwamba Covid-19 imeashaathiri takribani ya watu nusu milioni na kusababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 20 alisema,

“Hio ni habari mbaya lakini duniani kwa ujumla, mamia ya watu walisalia hai na kusalimika”

Ghebreyesus, akizungumzia juu ya upungufu wa vifaa vya kujikinga hasa kwa madaktari na wahudumu wa afya alisema, “ ni tatizo la ulimwengu mzima” na “Juhudi zao za pamoja wanazozifanya katika kuokoa maisha zinawaweka kwenye matata makubwa”.

Ghebreyesus alisema kwamba wametuma zaidi ya vifaa vya kujikinga milioni 2 kwa mataifa 72 yaliyokuwa na mahitaji makubwa zaidi na pia wameshafanya maandalizi kutuma vifaa tiba kama vilivyotajwa kwa mataifa 60 zaidi.

Ghebreyesus, aliongeza kwamba ushirikiano zaidi unahitajika kwani ili kuweza kutatua changamoto hiii inahitajika mshikamano na ushirikiano wa kimataifa.
yaani mtakuja kupata chanjo na corona ishasepa kitambo
 
Hii ni habari njema kwa mashabiki wenzangu wa Man United

Rudi Nyumbani Kumenoga.
Hahahaaa kunarafikiangu wakati hii foronya imeanzatu nikamuambia, nimepata habari EPL imesimamishwa na matokeo yatafutwa ianze moja mwakani.

Alishtuka kidogo azimie.

Nilishangaasana,mbaka hapo umesha jua ni shabiki wa team gani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za mkopo, gonjwa hili linaturudisha mwaka 1918, tukae chonjo.
 
Back
Top Bottom