corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Ripoti: Wabunge wakosoa namna Serikali iliyoshughulikia janga la Corona mwanzoni mwa mlipuko

    Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea maambukizi na maelfu ya vifo. Vilevile Ripoti hiyo imesema kulikuwa na nia ndogo ya kujifunza kutoka kwa...
  2. Pascal Mayalla

    Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  3. Analogia Malenga

    Safari zimemfanya Tyson apate chanjo ya Corona

    Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha. "I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya...
  4. M

    Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  5. beth

    Uingereza yaiondoa Tanzania kwenye 'red list'

    Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7 Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021) Hatua hiyo inamaanisha...
  6. beth

    IMF: Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na Corona

    Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa tajiri na masikini, na kwamba katika miaka 5 ijayo Uchumi unaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa ikiwa...
  7. F

    The following countries of the world have no record of Coronavirus

    The following countries of the world have no record of Coronavirus:- Kiribati Marshall Islands Micronesia Nauru North Korea Palau Samoa Solomon Islands Tonga Turkmenistan Tuvalu Vanuatu SOURCE: AL JAZEERA
  8. Suley2019

    Simiyu: Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa

    Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa. Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imefanikiwa kumaliza dozi zote za chanjo 3,320 za Covid -19 ambazo ilipewa na Serikali kwa ajili ya kuwachanga wananchi wa wilaya hiyo ili kujikinga na ugonjwa huo. Mkuu wa Wilaya hiyo, Faidha Salim amethibitisha hayo...
  9. J

    Fahamu masuala mbalimbali kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo chanjo ya COVID-19. Tazama uone namna chanjo inafanya kazi na masuala mengine muhimu. Je, Vijana wanaweza kulazwa kwa Covid-19 DKT. ISAAC MARO: VIJANA HUWEZA KULAZWA AU KUFARIKI KWA #COVID19 Daktari Isaac Maro...
  10. beth

    Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  11. Memento

    Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

    Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
  12. beth

    UNGA: Afrika yaeleza ukosefu wa usawa chanjo za Corona

    Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
  13. E

    Corona ni ugonjwa halisi

    Corona, au uviko ni ugonjwa halisi na upo duniani kote hadi sasa umeingia hadi Alaska nchi zenye baridi sana. Magonjwa yote yatokanayo na virusi hukabiliwa(huzuiwa) na Chanjo (vaccine) tangu enzi za Nuhu. hakunaga anti-virus kama vile Anti-biotics ambazo huuwa Bacteria. Baadhi ya magonjwa...
  14. Slowly

    Hii Corona ifikie hatua tusibebeshane mzigo

  15. beth

    WHO: Maambukizi na vifo vya Corona vyapungua

    Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa na vifo vitokanavyo na COVID-19 vimeendelea kupungua ulimwenguni katika wiki iliyopita. WHO imesema leo kuwa zaidi ya visa milioni 3.6 na chini ya vifo 60,000 vimeripotiwa kati ya Septemba 13 na 19. Kupungua kwa kiasi kikubwa cha visa...
  16. Fundi Madirisha

    Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  17. thegreat1510

    Nick Minaj amekataa kuchanjwa chanjo ya Corona

    Msanii au rapper maarufu duniani Kwa jina la Nick minaji amegoma yeye na familia yake kupatiwa chanjo ya Korona. Source: Twitter.
  18. beth

    Urusi: Rais Putin ajitenga baada ya wasaidizi wake kupata Corona

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin anajitenga kama tahadhari baada ya Wasaidizi wake wa karibu kuugua Ugonjwa wa COVID19. Imeelezwa, Rais huyo mwenye miaka 68 hana maambukizi. Kwa mujibu wa Ikulu (Kremlin) Putin kwa kushirikiana na Wataalamu alifikia uamuzi wa kujitenga baada ya kukutana na Rais wa...
  19. S

    Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  20. beth

    Afrika Kusini kulegeza kanuni za kudhibiti janga la Corona

    Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua. Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na Kirusi cha Corona aina ya Delta halijaisha, Taifa hilo limeshuhudia maambukizi yakishuka katika wiki...
Back
Top Bottom