corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza kanuni za kudhibiti janga la Corona

    Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua. Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na Kirusi cha Corona aina ya Delta halijaisha, Taifa hilo limeshuhudia maambukizi yakishuka katika wiki...
  2. maatope

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

    Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE. WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Nyota 3 wa Rivers Plate Walizuiwa kucheza kwa Siasa za Corona

    Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid. Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
  4. Hardlife

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mbumbumbu mnaojitoa ufahamu na kudai kupinga chanjo ya corona ni "uharibifu" uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Cheki hapa!

    Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

    Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vietnam: Afungwa miaka mitano kwa kusambaza Virusi vya Corona

    Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19 na kusambaza virusi vya Corona. Mahakama imemkuta na hatia bwana Le Van Tri kwa kusambaza maambukizi ya ugonjwa hatari kwa watu nane , ambapo mmoja tayari...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Imani Potofu na Ukweli Kuhusu Chanjo ya COVID19

    Chanjo ya COVID-19 inaweza kuathiri uzazi wa wanawake Chanjo ya COVID-19 haitaathiri uzazi. Ukweli ni kwamba chanjo ya COVID-19 inahimiza mwili kuunda nakala za protini ya spaiki inayopatikana kwenye uso wa coronavirus. Hii "inafundisha" kinga ya mwili kupambana na virusi ambavyo vina protini...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Covid-19 hii ni vita ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili

    Kuna kitu hapa, hii ni vita ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili. Kuna video na picha za matukio mbalimbali tutakua tunayajadiri humu kuhusu hili swala na kuzifafanua kwa ajili ya afya ya kwenu, watoto wenu na WAJUKUU wenu. Vijana wengi hawakubaliani na maamuzi ya wazee na hawana nguvu na mali ya...
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole na hoja ya Gwajima juu ya chanjo ya Covid-19

    Polepole: Moja, Polepole yeye anasema kuwa corona ni ugonjwa uliotengenezwa na big pharma ili yapige pesa. Kuwa mabeberu wanaachana na kuvamia nchi kuiba mafuta na sasa wanatengeneza magonjwa ili kupiga pesa. Pili, Anasema kuwa kasi ya kirusi kubadilika(ku-mutate) inatia shaka, si ya kawaida...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Botswana: Waziri Msaidizi asimamishwa kazi kwa kukiuka kanuni za kupambana na Corona

    Rais wa Botswana amemsimamisha kazi kwa mwezi mmoja Waziri Msaidizi wa Afya, Sethomo Lelatisitswe, kwa kukiuka taratibu zilizowekwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Serikali Nchini humo ilipiga marufuku mikusanyiko yote kutokana na ongezeko la Visa vya Corona na miongoni mwa mikusanyiko...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona limeifanya Ulaya itambue kuwa kuna utalii bora na utalii usio bora

    https://www.bloomberg.com/news/articles/2021-08-17/amsterdam-prague-and-barcelona-see-tourism-silver-lining-in-covid-lockdowns?utm_medium=cpc_social&utm_source=facebook&utm_campaign=BLOM_ENG_EDITORL_COALL_FB_SO_WTRF_ADSALEINIT_KEYCO_00XXXXCPC_2PFB_XXXX_BUSFINLUXREAD_X1854_COALL_XXXEN_ALLFOA_ASP3_...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wanatengeneza Chanjo ya Corona inayoweza kuliwa kwenye Nyanya

    Wanasayansi nchini Uzbekistan wanatengeneza chanjo dhidi ya virusi vya corona inayoweza kuliwa ndani ya nyanya, Wizara ya Ubunifu ya nchi hiyo imeeleza. Wanasayansi kutoka Chuo cha Sayansi wamefanikiwa kuweka sehemu ya kirusi hicho ndani ya seli ya nyanya ambapo seli hiyo imegeuka kuwa chanjo...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Leo nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona halafu nimeogopa, nimerudi

    Leo, yaani jana Jumamosi nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona. Nimeingia katika geti, nilikuwa nashangaa shangaa pale akaja mwanamke mmoja akaniuliza, "Kwani ulikuwa unataka kwenda wapi?" Nikamwambia nataka kuchanja Corona. Akaniambia pita pale hospitali ya Jakaya, halafu mbele kule kuna jengo...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Idadi ya maambukizi ya Corona duniani inaonesha ongezeko la maambukizi ni dogo ikilinganishwa na miezi iliyopita

    Baada ya Visa duniani kuongezeka kwa kiwango kikubwa kwa takriban miezi 2, Shirika la Afya (WHO) limesema hivi sasa takwimu zinaonesha ongezeko la maambukizi lipo kwa kiasi kidogo. Visa vipya zaidi ya Milioni 4.5 na vifo 68,000 vilirekodiwa wiki iliyopita ikilinganishwa na Visa zaidi ya Milioni...
Back
Top Bottom