corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ubelgiji kuipatia Tanzania dozi 115,200 za Johnson & Johnson

    Serikali leo inatarajia kupokea chanjo aina ya Johnson & Johnson dozi 115,200 kutoka Ubelgiji ili kuchangia kuongeza kasi ya kampeni ya kuchanja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ubalozi wa Ubelgiji na kuthibitishwa na serikali ya Tanzania, chanjo hizo zitachangia kuongeza kasi ya...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu. Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona. Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei...
  3. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii?

    Swala la chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa uviko unaosababishwa na kirusi hatari zaidi kwa sasa, bado halijakuwa na mwamko kama ilivyo kwa chanjo nyingine kama polio, bcg. Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii? Kama mwezi ulopita nilikutana n rafiki yangu wa muda...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

    Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki. "Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama." "Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini. Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna tishio la Wimbi la Nne la Virusi vya Corona

    Wizara ya Afya imesema hivi karibuni kumekuwa na tishio la kutokea Wimbi la Nne kutokana na taarifa za ongezeko la visa vipya na kuwepo kwa wasafiri wengi ndani na nje ya Nchi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka Kutokana na kuibuka aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho Omicron...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

    Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Aina mpya, hatari zaidi, ya Kirusi cha Corona yagunduliwa Afrika Kusini

    Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika. Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko nchini Afrika Kusini, Prof. Tulio de Oliveira amesema kuwa kirusi hicho kipya kina zaidi ya...
  9. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuongoza kwa maambukizi ya Corona inafikirisha

    Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu. Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Austria yaweka hatua za kuifunga nchi kutokana na Corona

    Austria imekuwa nchi ya kwanza katika Ulaya Magharibi kutangaza tena hatua za kusitishwa shughuli za nchi kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona. Kansela wa Austria Alexander Schallenberg amesema hatua hiyo ya kufungwa shughuli za nchi itaanza kutekelezwa Jumatatu na agizo la...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania China: UN yaitaka China kumwachia huru Raia aliyefungwa kwa kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia Covid-19

    Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19. Zhang alisafiri kwenda Wuhan Februari 2020 ambapo aliripoti kuhusu janga la Corona kupitia simu yake ya mkononi. Alikamatwa Mwezi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

    Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona. Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe. Source: ITV habari ============= Katibu...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar lavamia hoteli wanayokaa Taifa Stars kwa madai ya kutaka kuwaondoa wachezaji wenye maambukizi ya Corona

    TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa...
  14. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Natafuta Koki za maji zinazowekwa kwenye madum au ndoo za kunawia

    Deleted
  15. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Luck Dube alitabili Corona (Barakoa)

    MZIKI ULINIAJILI... NI KAMA LUCK DUBE ALITABILI CORONA (ALIVAA BARAKOA KWENYE WIMBO WAKE WA THE WAY IT SI)... NA KUKATALIWA NA WAZUNGU. Je, Generation yake inatabili janga gani la Dunia?
  16. beth

    JamiiForums Tanzania China yakosoa Ripoti ya Marekani kuhusu asili ya Virusi vya Covid-19

    Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu. China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi vilitokea Maabara katika Mji wa Wuhan ambapo COVID-19 iligundulika kwa mara ya mwanza mwaka 2019...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

    Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19. Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo. Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

    Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government. President Bolsonaro has been...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania WHO yasema inaweza kuwa nafasi ya mwisho kubaini asili ya Virusi vya Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya mwanzo Mapema mwaka huu timu iliyoongozwa na WHO kwa kushirikiana na Wanasayansi wa China ilisema...
Back
Top Bottom