corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Corona yatajwa kambi Yanga

    KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo. Miongoni mwa sababu zilizotajwa na uongozi wa Yanga ni idadi ya wachezaji kupungua baada ya baadhi kwenda kujiunga na timu...
  2. beth

    Indonesia yaanza kulegeza kanuni za kudhibiti Corona baada ya maambukizi kupungua

    Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa kufunguliwa. Maeneo ya Ibada na Migahawa itatakiwa kufanya kazi kwa kiwango cha 25% na maeneo ya...
  3. beth

    Lockdown kuendelea Nchini New Zealand, visa vya Corona vyafikia 107

    Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi Agosti 31. New Zealand ni moja kati ya Mataifa yanayosifika ulimwenguni kwa kudhibiti janga la Corona...
  4. S

    Kwa data hizi hongera Raisi Samia Corona tumeidhibiti

    https://covid.2gis.ae/advice?utm_source=online&utm_medium=mapcontrol&utm_campaign=firsttry
  5. F

    Kama sanitizer inauwa virus wa Corona kwenye mikono, kwanini zisiwepo santizer za kunywa Kama maji au juice?

    Wakuu habari, samahan kuuliza si ujinga na kama ni ujinga basi ukinipa jibu utakuwa umenipunguzia ujinga. Tunashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka. Iman yangu naamini tukinawa virus wanaondoka na maji, hiyo sawa. Tukitumia sanitizer, tunapaka kwenye mikono na kuhamin virus wamekufa. Sasa...
  6. L

    Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

    Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka 1. Umekaribia kustaafu 2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa 3. Mwenye uzito uliopitiliza 4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk 5. Unafanya kazi...
  7. J

    Wizara ya Afya: Wananchi wasiache kutumia tiba za asili zinazotambulika kukabiliana na Corona!

    Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbaga ametoa wito kwa Watanzania kutoacha njia za asili za kupambana na...
  8. World Logistics Company

    Mchango wetu kwa Watanzania katikati ya wimbi la Corona

    Wakati dunia bado inahangaika na janga la corona au UVIKO19, nasi tumeona tutoe mchango wetu kwa wanaotafuta riziki kupitia biashara zao hususan wale wanaofuata bidhaa zao huko China, Uingereza, Uarabuni na mataifa mengine. Siku hizi kusafiri imekuwa shida sana, shida zaidi ni kuagiza na...
  9. B

    Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?

    Amesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini. Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani? Inachukua muda gani kujua idadi ya wagonjwa waliolazwa mkoa kwa mkoa, vifo au waliopona? Hapa tuna mwenzetu mwingine...
  10. MKILINDI

    Serikali bado ina nafasi ya kushawishi Watanzania chanjo ya Corona

    Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza kushindwa vita hii, kwa kuwa, kwanza ni hiari lakini pia ilishajikwaa mwanzoni kuhusu chanjo hiyo kwa awamu...
  11. comte

    Mnaopiga na kuunga mkono kuwepo kwa Corona, njia za kujiepusha na chanjo msikieni Dkt. Fauci

    “You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding conditions, we carefully monitor that changing and updating data" (Anthony S. Fauci, infectious-disease...
  12. N

    Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  13. D

    Hali niliyopitia baada ya kuchoma chanjo ya COVID-19

    Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana...
  14. Analogia Malenga

    Uwepo wa COVID-19 umesababisha migogoro ya ajira kuongezeka

    Tumeya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Ajira imesema baada ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 imepokea migogoro inayofi kia 18,222 kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu. Kaimu Msemaji wa tume hiyo, Nahshon Mpula alisema hayo alipozungumza na televisheni ya Azam. Alisema ongezeko la...
  15. M

    Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

    Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
  16. L

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  17. FRANCIS DA DON

    Hivi hii dunia tutahangaika na huu upuuzi wa Corona hadi lini? Dawa ni kutunga sheria tu

    Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk. - Mfano kwa magonjwa, ukiona NGO inapigia sana kelele masuala ya Ukimwi kwa mfano, basi tambua kuna manufaa wanapata toka...
  18. F

    Kanisa Katoliki Arusha na uzembe kwenye Corona

    Nimesali leo Kanisa Katoliki Ngaranaro (kwa Babu) ibada ya misa ya kwanza. Nimesikitika sana hakuna tahadhari yoyote kuhusu corona hakuna hata tangazo zaidi ya vindoo vya maji ambavyo hakuna kuhimizwa watu kunawa. Ibada ni ndefu bila sababu kuanzia saa 12.30 asubuhi mpaka saa 2.20 asubuhi...
  19. FRANCIS DA DON

    Hivi inamaana kuna viongozi huwa hawana mshipa wa aibu, ni vigeu geu sana kwenye suala la Corona

    Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
  20. beth

    Marekani: CDC yapendekeza wajawazito kupata chanjo ya Covid-19

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika. CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
Back
Top Bottom