#COVID19 Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri toka mataifa ya kusini mwa Afrika.
Hebu cheki wenyewe taarifa hii:
Growing list of countries with curbs over 'super-mutant' strain
26 Nov, 2021 10:22 / Updated 1 minute ago

Follow RT on
RT
'Super mutant' Covid variant has sparked a ban around the world on non-essential travel to South Africa and neighboring states, with Denmark, Morocco, the Philippines and Spain becoming the latest nations to impose restrictions.
Germany has declared South Africa a “virus variant area,” the country’s health minister Jens Spahn wrote on Twitter. It means “airlines will only be allowed to transport Germans" from the country.

All arrivals would be required to quarantine for 14 days, even if they are fully vaccinated against Covid-19 or have recovered, Spahn added.

The Dutch authorities made a similar move, announcing a ban on flights from South Africa to the Netherlands from midnight.

READ MORE
New B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK saysNew B.1.1.529 Covid variant ‘worst one’ so far, UK says
This follows a call by the European Union on member states to consider “stopping air travel” from the southern African region over the new strain of the virus. Italy and Czech Republic were also quick to follow the advice from Brussels.

Rome has banned entry to all arrivals from South Africa, Lesotho, Botswana, Zimbabwe, Mozambique, Namibia and Eswatini. Prague has also said that non-nationals who recently visited South Africa won’t be allowed into Czechia.

Later in the day, France said that it was suspending flights from southern Africa for at least 48 hours, with Health Minister Olivier Veran announcing that all those who recently arrived from the region are going to be tested and monitored closely.

Meanwhile, French PM Jean Castex revealed that talks among EU leaders on how to respond to the new strain, which so far hasn’t been diagnosed on the continent, are going to take place “over the next hours”.

The World Health Organization (WHO) says the large number of mutations in the newly-discovered variant raises serious concerns over how it will impact diagnostics, therapeutics and vaccinations.

The UK also restricted air travel to and from South Africa and its neighbors, with the country’s Health Security Agency saying that “this is the worst variant we have seen so far.”

Countries beyond Europe have also been worried about the new variant, with Malaysia, Japan, Singapore and Bahrain imposing restrictions on travelers from the southern Africa region.

Israel also placed a ban on arrivals from southern Africa but then expanded that “red zone” to almost the whole continent, only excluding some north-African nations.

Kwa hali ilivyo, wakati mataifa ya afrika hayajaweza kuchanja hata asilimia 10 ya chanjo ya kwanza ambayo pia haisaidii chochote ameingia super variant!! Itabidi watu wakubali tu kumtanguliza Mungu ili kubaki salama.
 
JPM atabakia hero dunia nzima kwa msimamo wake kuhusu corona.

Kama mataifa yaliyochanja raia wake karibia wote lakini bado yanatapatapa, maana yake chanjo haiwasaidii. Watu wamrudie Mungu ndio suluhisho la kweli.
 
Ujinga tu unakusumbua kwa kusifia vilivyooza kwa sifa za kijinga.

Huyo Magu wako alimrudia Mungu kwa alichomfanyia Lissu na Ben Saa8?

Kwani uliambiwa chanjo inadhibiti asilimia 100?

Sayansi haijawahi kufeli,Mungu alishatoa suluhu kupitia sayansi,punguza uzwaza!
 
JPM atabakia hero dunia nzima kwa msimamo wake kuhusu corona.

Kama mataifa yaliyochanja raia wake karibia wote lakini bado yanatapatapa, maana yake chanjo haiwasaidii. Watu wamrudie Mungu ndio suluhisho la kweli.

sijaelewa hii bado..... kwahiyo watu waache kila kitu wamrudie Mungu... kama ni hivyo basi vyote tunavyofanya tuache tumrudie Mungu, kila challenge mwanadamu akipata asifanye chochote amrudie Mungu...tulikuwa na malaria tusingetafuta dawa wala suluhu tungemrudia Mungu...hapana siamini kama mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi anayetaka tufanye kazi tupate kipato tuishi na kumuabudu anataka hivyo....

sidhani kama hiyo ndio maana ya maisha ya hapa duniani, sidhani kama mwenyezi Mungu alituleta hapa duniani tuje tuishi hivyo....
 
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba hizo chanjo unazochanjwa ni biashara tu
 
Kama kuna chanjo ya corona kweli kwa nini isiondoke sasa kama polio ilivyoondoka?
Hatua kwa hatua maana Mdudu wa corona ni virus na sio bacteria,virus wana tabia ya kubadilika sana ndio maana unaona ata chanjo ya HIV/AIDS bado ni changamoto.

Na lazima iwe pia biashara au sehemu ya kupata faida,kwani unafikiri hawatumii gharama kuzalisha?

THINK BIGGER!
 
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba hizo chanjo unazochanjwa ni biashara tu

jenga hoja mkuu ili twende sawa...

inawezekana kweli chanjo ni biashara, lakini kila kitu duniani hapa ni biashara....kwani mkuu hizi hospitali tunazoenda tunatibiwa bure na kuondoka? kule mochwari tunahifadhi wapendwa wetu bure?...

naamini wanaotafuta chanjo maabara wako kazini kuisaidia dunia lakini pia wanatafuta hela waweze kuishi kupitia taaluma zao...wewe ukipata chanjo ikafanya kazi nao watapata hela pia.......kumbuka Covid inaua kila mtu haichagui, hata hao wenye maarifa wanapenda kuishi.....kwani mkuu mbona dawa za malaria tunanunia tunatumia na kupona...
 
JPM atabakia hero dunia nzima kwa msimamo wake kuhusu corona.

Kama mataifa yaliyochanja raia wake karibia wote lakini bado yanatapatapa, maana yake chanjo haiwasaidii. Watu wamrudie Mungu ndio suluhisho la kweli.
Sifa za kipumbavu na kizandiki,hero wa corona wakati imemlaza kwenye udongo?Watu wengine kama wazombie
 
Back
Top Bottom