Natafuta Koki za maji zinazowekwa kwenye madum au ndoo za kunawia

Kaka na dada,

Kipindi kuna amusha amusha mkubwa saaaana ya Korona kulikua kama kuna agizo la kuwa na ndoo za kunawia kwa kila duka, bar/club, banks etc

Watu walitengeneza ndoo zenye koki
aina mbali mbali...

NOW,

Ninahitaji koki hizo mbili tatu hivi for use at home.
Nilienda baadhi ya maduka ya hardware kariakoo na mwenge lakini sikufanikiwa kuzipata.

Kwa Dar, kama kuna mtu anajua zinapopatikana hasa zile za plastic... ndogo hivi, nadhifu umbo kama kimfuniko cha galloni la lita 5 hivi please nielekeze out of selflessness/ kind heartedly or business-wise.

Also would buy soap dispensers.

Its always good to be hygienic. Esp in rural area where there is no piped water supply this method is the next best thing.

Im within Dar es Salaam.

Thank you!
Ohooo
 
Back
Top Bottom