Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says.

The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government.

President Bolsonaro has been accused of failing to control the virus that has killed more than 600,000 Brazilians.

Excerpts leaked to the media indicate that the panel wants Mr Bolsonaro to face nine charges.

Initial drafts of the report had recommended the president be charged with homicide and genocide against indigenous groups.

But these recommendations have now apparently been dropped from the 1,200 page report, which urges charges of crimes against humanity, forging documents and incitement to crime

Despite the serious allegations, it is not clear what this means for Mr Bolsonaro, according to the BBC's South America correspondent Katy Watson.
 
Rais wa Brazil Jair Bolsonaro yuko njia moja kutimba kizimbani kwa kusababisha maafa na upotevu maisha kwa uzembe.

IMG_20211021_141231_473.jpg


Rais Bolsonaro alipotosha watu kuhusiana na janga la Corona. Akawaaminisha watu kutumia madawa yasiyohusika, yakiwamo ya malaria kutibu na kuzuia Corona huku akijua hana ujuzi na mambo ya tiba.

Matokeo yake janga likawa janga. Maelfu kwa malaki ya watu wakapoteza maisha.

Kwa sababu ya Bolnasaro, Brazil inashika namba 2 kwa kuathirika zaidi kwa Corona duniani.

Alaaniwe bwana Bolnasaro kwenye hili.

Itapendeza kumwona bwana huyu kizimbani kunako mahakama zilizo huru zinazozingatia haki na sheria.

Ikawe somo kwake na watu wenye tabia kama yake kokote waliko.

Source: Brazil's Bolsonaro should face homicide charge for COVID-19 errors, says Senate report
 
Jiwe na washirika wake wamekuwa wanajua hili laja ndiyo maana kutwa kupinga chanjo huku wao wakiwa wamewahi kuchanjwa.

Pole pole tutafika tu. Wacha tubanane na katiba mpya kwanza. Kila mhanga atasomwa kwenu hata kama mtakuwa mnaongoza malaika au mashetani.
 
Jiwe na washirika wake wamekuwa wanajua hili laja ndiyo maana kutwa kupinga chanjo huku wao wakiwa wamewahi kuchanjwa.

Pole pole tutafika tu. Wacha tubanane na katiba mpya kwanza. Kila mhanga atasomwa kwenu hata kama mtakuwa mnaongoza malaika au mashetani.
Umechanja?
 
Jiwe mjanja alijifia mapema kukwepa aibu kama hizi.

R.I.P
KIJAZI
MAHIGA
MKAPA
MFUGALE
NDASA
..
...
...HANS POPE
...
...
 
Back
Top Bottom