Chenge: Hii bajeti tunayoipitisha sasa tutakuja kuijadili na kuipitisha upya baada ya Corona kudhibitiwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,913
141,862
Sijajua ni kwanini mbunge wa Bariadi alitamka maneno haya lakini kwa yanayoendelea bungeni naunga mkono hii kauli.

Bunge hili la bajeti limekuwa ni bunge la kuijadili Chadema badala ya kujadili mustakabali wa uchumi wetu.

Jana inapitishwa bajeti ya wizara ya viwanda na biashara huku Biashara zinasusua na mtaani sukari hakuna lakini waziri haonyeshi kuguswa kabisa.
Kiukweli hili bunge lingevunjwa tu ili mwezi October panapo majaliwa tuanze upya na December ifanyike min budget.

Maendeleo hayana vyama!
 
Chenge ni msomi wa viwango vya juu.bahati mbaya anaishi Tanzania inayoongozwa na kina Magu,slow slow na bashite
 
Wewe Lumumba... Chenge anamaanisha ivi... Corona ikiisha, athari zake kiuchumi mtakua mmeshaziona vzuri na macho yenu na masikio yenu.
Sijajua ni kwanini mbunge wa Bariadi alitamka maneno haya lakini kwa yanayoendelea bungeni naunga mkono hii kauli.

Bunge hili la bajeti limekuwa ni bunge la kuijadili Chadema badala ya kujadili mustakabali wa uchumi wetu.

Jana inapitishwa bajeti ya wizara ya viwanda na biashara huku Biashara zinasusua na mtaani sukari hakuna lakini waziri haonyeshi kuguswa kabisa.
Kiukweli hili bunge lingevunjwa tu ili mwezi October panapo majaliwa tuanze upya na December ifanyike min budget.

Maendeleo hayana vyama!
Kwaiyo mtalazimika kurudi upya kufix mambo !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni kikundi cha wahuni tu hapa nchini.Chenge anajitambua sana ila anatumia ujinga wa Watanzania wengi kufanya ayafanyayo,ilitakiwa awe nyota hapa nchini lakin yeye ndio miongoni mwa wanaozamisha meli ya Tanzania.Bunge bila Chadema sio bunge ni kikundi cha wavuta bangi akina Mwigulu na Msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Chenge ana wachora tu vilaza wa ccm,.
 
Back
Top Bottom