Baada ya maambukizi ya corona kupungua je baraza la Eid litakuwepo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,932
141,894
Juzikati ilitangazwa na Bakwata kuwa baraza la eid halitakuwepo kwa sababu za kuhofia mikusanyiko.

Sasa baada ya taarifa ya serikali kwamba Corona imepungua je baraza la Eid litakuwepo au msimamo bado ni ule ule?
 
Kuishi ama kufa Kwa ajiri ya Mungu, hakuna hasara hapo!!! Ibada zifanyike zenye tahadhari kama serikali inavyoelekeza

Shida ni Kwa watu ambao hawana tumaini la baada ya maisha ya duniani, na ndio wanaoongoza Kwa kupiga Kelele nchi ifungwe

Duniani nchi nyingi tu zilizofungia watu wake, lakini mauti ameendelea kufanya kazi yake kama kawaida

Ufalme hutekwa na wenye nguvu, huwezi kuogopa kiasi cha kukimbia kifo ni upumbavu uliovuka kiwango, Mungu aspokuvuna kupitita Corona atakuvuna Kwa ajari na magonjwa mengine n.k
 
Dah!!! Kazi sana, sometimes mtu unakosa hata cha kucomment,, watakavyoamua ndivyo itakavyokuwa kila mtu atajibebea mzigo wake mwenyewe!!
 
Kuishi ama kufa Kwa ajiri ya Mungu, hakuna hasara hapo!!! Ibada zifanyike zenye tahadhari kama serikali inavyoelekeza

Shida ni Kwa watu ambao hawana tumaini la baada ya maisha ya duniani, na ndio wanaoongoza Kwa kupiga Kelele nchi ifungwe

Duniani nchi nyingi tu zilizofungia watu wake, lakini mauti ameendelea kufanya kazi yake kama kawaida

Ufalme hutekwa na wenye nguvu, huwezi kuogopa kiasi cha kukimbia kifo ni upumbavu uliovuka kiwango, Mungu aspokuvuna kupitita Corona atakuvuna Kwa ajari na magonjwa mengine n.k
Kufunga nchi ni kosa gani kwa mujibu wa maelekezo ya kuruani au biblia.
Watu kama nyie mlipaswa kuwekewa mbunye kwenye mapaji ya nyuso zenu.
 
Licha ya kutofungwa nchi, bado hujafa Wala kuambukizwa Corona, kuna waliofunga na bado wamekufa Kwa wingi na maambukizi ni makubwa,

Kashasema hafungi nchi, pasuka sasa ili hasira zako ziishe!!!
 
Juzikati ilitangazwa na Bakwata kuwa baraza la eid halitakuwepo kwa sababu za kuhofia mikusanyiko.

Sasa baada ya taarifa ya serikali kwamba Corona imepungua je baraza la Eid litakuwepo au msimamo bado ni ule ule?
Itakuwa ni maajabu kama balaza halitakuwepo wakati watu wamejazana kariakoo kutafuta nguo za sikukuu ya eid, wanaohusika wafikirie tena haya mambo, watafiti athari zilizopo mpaka sasa kwa waumini, wapime maambukizi mpaka sasa kwa waumini ndiyo wajiunge kwenye mkumbo. Hili jambo Africa tumelidaka kwa pupa sana, ugonjwa inawezekana upo ila sio wakutisha kwa kiasi hichooo ambacho kinawafanya watu washindwe hata kumwabudu Mungu.
 
Nimekuelewa mkuu!
 
Back
Top Bottom