kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,604
COVID-19 imeua watu 55 Kenya tangu Mwezi March 2020 hadi May 2020.
Kabla ya kuendelea na lockdown ya CORONA toweni takwimu ya vifo kutokana na magonjwa mengine Kama Malaria, TB, HIV, ajali za bodaboda katika kipindi Cha kuanzia March- May 2020 same period ili kuona Ni ugonjwa gani umeua wakenya wengi zaidi.
Huenda Malaria imeua Sana wakenya March- May kuliko COVID-19.
Huenda lockdown ya Sasa ina address the wrong problem.