IMF Yaipa Rwanda Dola Milioni 111.06 zaidi ili kupambana na COVID-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF), limeipa serikali ya Rwanda dola milioni 11.06 sawa na Tsh billioni 257 ili kuongeza nguvu katika kupambana na COVID19

Uchumi wa Rwanda uliathirika na baadaya kupigwa na COVID19, ukuaji wa uchumi wake ulitarajiwa kushuka kutoka 5.1 hadi 2.0

IMF imesema mamlaka zaRwanda zimeonyesha uwazi na uwajibikaji katika kutumia fedha za dharula kwa kutengeneza namna nzuri ya utawala wa fedha za umma

====
IMF Executive Board Approves an Additional US$111.06 Million Disbursement to Rwanda to Address the COVID-19 Pandemic

June 11, 2020


  • The IMF approved US$111.06 million (SDR80.1 million), a second disbursement under the Rapid Credit Facility (RCF) bringing the total IMF COVID-19 emergency support to Rwanda to US$ 220.46 million to help urgent balance of payment needs stemming from the pandemic.
  • Rwanda’s economy has been severely impacted by the COVID-19 pandemic with weaker domestic demand losses of revenue, and a sharp decline in exports and remittances.
  • The additional resources under the RCF will help alleviate pressing financing needs, including for health, social protection, and supporting the most impacted sectors and vulnerable groups.

Washington, DC – The Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) today approved the disbursement of $111.06 million (SDR80.1 million) to Rwanda under the Rapid Credit Facility (RCF). This is the second emergency disbursement since the onset of the pandemic and will help finance the country’s urgent balance of payments (BOP) and budget needs. It follows from the Executive Board’s decision on April 9, 2020 to double the annual access limit under the RCF to 100 percent of quota (see IMF Policy Paper No. 20/018 ) and brings the total IMF COVID-19 support to Rwanda to $ 220.46 million.

Rwanda’s economic outlook has worsened since the approval of the first RCF request on April 2, 2020, leading to a further downward revision in the 2020 GDP growth forecast from 5.1 to 2.0 percent due to deepening of the COVID-19 impact. The unprecedented spending needs generated by the pandemic, combined with losses of revenues, are putting significant pressures on public finances and compounding the impact of sharp declines of exports and remittances on the balance of payments. The additional disbursement under the RCF will provide much needed support for critical COVID-related spending under the government’s Economic Recovery Plan, but further support will be needed from the international community. The authorities have committed to transparency and accountability to ensure the appropriate use of emergency financing, building on their strong public financial management framework.

Following the Executive Board’s discussion, Mr. Tao Zhang, Deputy Managing Director and Acting Chair, issued the following statement:

“The COVID-19 pandemic continues to severely impact the Rwandan economy. The global and domestic macroeconomic outlook has further deteriorated. Growth projections have been revised down, and revenue losses and spending needs are more than twice the size estimated at the time of the first RCF request.

“The policy measures deployed by the authorities to respond to the pandemic and accelerate economic recovery are appropriate. The additional fiscal spending should help mitigate the impact of the pandemic while ensuring that spending is well-targeted and cost-effective so as not to crowd-out other priority areas. Additional financing from the international community remains critical to ease the adjustment burden. The authorities’ commitment to high standards of transparency and accountability in the management of emergency financial assistance is welcome.

“It will also be important to maintain data-driven monetary policy and continue to provide liquidity support to cushion the impact of the pandemic as well as step up supervision to safeguard financial stability.

“Once the crisis abates, it will be critical to adopt a credible fiscal adjustment path to maintain debt sustainability in the medium-term and preserve Rwanda’s development gains over the last two decades."
 
Jitahidi kufahamu maana ya SDR kwanza kabla hujakurupuka.
 
Rekebisha hayo maudhui uliyoandika kwa kiswahili. Yanataja dolla million 11.06 na kiingereza imetaja dolla million 111.06.

Kuna sehemu patakuwa pamepunjwa.
 
Africa tunaingia kwenye ukoloni mbaya kuliko ule wa kuchapwa bakora. Maana mkopo uliopo nchi hazimudu kulipa na nchi hizo haziwezi kuishi bila mkopo. Maana yake daima tutaendelea kuwa tegemezi. Kuna jicho moja namuona magufuli yuko na nia thabiti ya kututoa hapo Ila kiukweli kazi hiyo ni ngumu sana
 
Africa tunaingia kwenye ukoloni mbaya kuliko ule wa kuchapwa bakora. Maana mkopo uliopo nchi hazimudu kulipa na nchi hizo haziwezi kuishi bila mkopo. Maana yake daima tutaendelea kuwa tegemezi. Kuna jicho moja namuona magufuli yuko na nia thabiti ya kututoa hapo Ila kiukweli kazi hiyo ni ngumu sana
Wkt yeye mwenyewe Magu aliomba mkopo wa $190mil huko kwa mabeberu kwa ajili ya hizi mambo za Covid na tukanyimwa,hio nia thabiti ni ipi?
 
Africa tunaingia kwenye ukoloni mbaya kuliko ule wa kuchapwa bakora. Maana mkopo uliopo nchi hazimudu kulipa na nchi hizo haziwezi kuishi bila mkopo. Maana yake daima tutaendelea kuwa tegemezi. Kuna jicho moja namuona magufuli yuko na nia thabiti ya kututoa hapo Ila kiukweli kazi hiyo ni ngumu sana
JPM atatoboa tu tunatakiwa jumps support mapato ya nchi hii yanaweza kufinance miradi ya nchi kwa karibu asilimia 80 kama hayatafujwA tukijifunga miranda miaka mitano ijayo na tukaongeza uadilifu, basi nidhahiri ndani ya hii 5yes tutatusua kabisa
 
Pamoja na udogo wa nchi ya Rwanda na uchache wa watu kulinganisha na Tanzania, ili kupambana na Corona hadi sasa IMF imeipatia Rwanda jumla ya Bil. 530 huku Tanzania ikiambulia kusamehewa deni la bilioni 33 tu, narudia tena sisi tumesamehewa siyo kupatiwa.

Tujitathimini.

The IMF Executive Board today approved additional emergency funding of US$111.06 million to help #Rwanda finance #COVID19 health and economic efforts. This follows an earlier approval of US$109.4 million in April.

The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3 million over the next 4 months, and potentially up to US$25.7 million over the next 23 months.
 
Sasa MATAGA wakaamua kumlisha matango pori mzee wa watu na kumwambia wametusamehe "matrilioni". Nahisi hesabu hizo kapewa na polepole mzee wa fix
malisa_gj___CBSvj23gW5C___.jpg
 
Mleta mada shule imekupita kushoto nakuomba uwe unachambua vitu rahisi rahisi hivo vigumu viache. Kufutwa kwa kiasi hicho huwezi kulinganisha na mkopo mwingine mpya. Naona sisi ndo tumegain.
 
Sisi ni dona kantire kutusamehe deni inatosha sana after all tutakuwa tumeplay part kubwa katika kuhakikisha under developed countries kupata huo msaada wa 530 bilion.
 
Oneni akili za chadema jamani,!

Si ajabu huyuhuyu mleta mada akaleta mada nyingine juu ya ukubwa wa deni tunalodaiwa. Lakini hapa analalama kwamba kwanini hatupati mkopo!

Siasa za aina hii utazikuta chadema pekee dunia nzima. Alafu sasa utakuta Lisu anamtegemea mleta mada kwenye mikakati ya ushindi.
 
Yes hiyo ya Rwanda ni mkopo na sio grants, milango ya kukopa ilifunguliwa kwa anayetaka kukopa, sisi hatujataka kukopa, tumeomba kusamehewa madeni na tumesamehewa!.
P
Umeamua kutupiga 'sound' sasa,Dr.Mpango aliomba $190mil na hatukupewa.
 
Sasa tujitasimini nini?mambo ya nchi nyingine sisi yanatuhusu nini?kila mtu ana mambo yake,makusanyo ya Rwanda na Tanzania unadhani viko sawa? Yani wabongo bana,sijui mlirogwaga na nani
 
Back
Top Bottom