Brazil imechoka na corona, imeamua kufungua kila kitu ikiwemo shule, migahawa nk

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,135
10,848
Pamoja na kwamba maambukizi ya maradhi ya corona nchini Brazil kutajwa kuwa makubwa na kwamba siku ya Ijumaa pekee watu zaidi ya 4000 walikufa kutokana na athari za maradhi hayo.

Pamoja na hivyo nchi hiyo imeamua kufungua kila kitu ikiwemo mashule na mighahawa ili shughuli ziendelee.

Hatua hizo zinachukuliwa ikiwemo miji iliyoathirika zaidi ya Rio de Janeiro na Sao Paulo

====
Brazil is easing restrictions despite logging record numbers of daily coronavirus fatalities, with President Jair Bolsonaro saying death is "everyone's destiny."

On Wednesday, Brazil recorded the highest number of deaths from the coronavirus in a single day. The 1,349 new fatalities beat the previous record of 1,262 deaths, which was set the day before, according to data from the country's health ministry.

The country's total number of confirmed COVID-19 cases also surpassed 500,000 this week. Only the US has more.

Striking images published late last month showed row upon row of mass graves, laying bare the state of the country's crisis.

Gravediggers wearing protective suits bury the coffin of a person who died from the coronavirus disease (COVID-19), as open graves are seen at Vila Formosa cemetery, Brazil's biggest cemetery, in Sao Paulo, Brazil, May 22, 2020. Picture taken with a drone.

Gravediggers bury the coffin of a person who died from COVID-19 in São Paulo, Brazil, on May 22, 2020. REUTERS/Amanda Perobelli

Yet on Tuesday, a number of non-essential businesses and venues in the major cities of São Paulo and Rio de Janeiro opened their doors for the first time in months.

They include beaches, churches, car showrooms, and furniture stores, according to CNN.

On Monday, Marcelo Crivella, the mayor of Rio de Janeiro, said that "if all parameters are followed — wearing masks and avoiding crowds — we will return to normal life, to the new normal, in August."

Paulo Lotufo, an epidemiologist at the University of São Paulo, told The Guardian: "What is happening is an absurdity. The outlook is awful."

Regardless Bolsonaro, who in March called the virus a "little flu," said on Tuesday: "We are sorry for all the dead, but that's everyone's destiny."

TOPSHOT - A government health worker shows a Covid-19 test at the Roli Madeira riverside community in the southwest of Marajo Island, in the state of Para, Brazil, on June 1, 2020. - Residents were tested amid concern over the spread of the COVID-19 coronavirus.

A health worker shows a COVID-19 test at the Roli Madeira riverside community on Marajo Island, in Brazil's Para state, on June 1, 2020.

In May, two health ministers left their posts in the space of a month after clashing with Bolsonaro over the use of the hydroxychloroquine as a coronavirus treatment.

Whether the malaria drug helps combat COVID-19 remains unknown.

The ministers' old jobs remain unfilled.

A couple wearing face mask are walk at the Arpoador beach in Rio de Janeiro state, Brazil, on June 2, 2020, during the new coronavirus COVID-19 pandemic. - Latin American countries have begun to ease the measures imposed to stop the covid-19 pandemic in order to contain the economic collapse caused by quarantines, a decision that worries the Pan American Health Organization (PAHO), which alerted this Tuesday about possible outbreaks of the disease.

A couple at the newly reopened Arpoador beach in Rio de Janeiro state, Brazil, on June 2, 2020.

The governor of northeastern Maranhão state, Flávio Dino, blamed the country's high death toll on the president.

"I have no doubt that Bolsonaro is in great measure responsible for this terrible rate that is going to continue growing for several months," he said, according to The Guardian.


Source:

Business Insider
 
Kwa idadi inayotajwa ya vifo ilivyo kubwa inabidi tujue Brazil ina watu wangapi kabla ya Corona na tujue waliokufa kwa Corona ni wangapi ili watu tujiandae kuamia kule inaonekana watu wanaisha kabisa so nguvu kazi inahitajika sana. Kibaya zaidi sijasikia serikali ya kule ikikaribisha watu kuamia kule.
 
Kwa idadi ya vifo inayorepotiwa huko Brazil nategemea nusu ya wananchi katika Taifa ilo itakuwa iko mavumbini..!! Ila shida ya huu ugonjwa Propaganda ni nyingi mno
Propaganda ni nyingi. Sijui nani anafaidika nazo.
 
Kwa idadi inayotajwa ya vifo ilivyo kubwa inabidi tujue Brazil ina watu wangapi kabla ya Corona na tujue waliokufa kwa Corona ni wangapi ili watu tujiandae kuamia kule inaonekana watu wanaisha kabisa so nguvu kazi inahitajika sana. Kibaya zaidi sijasikia serikali ya kule ikikaribisha watu kuamia kule.
Ukisikia hizo taarifa utadhani hiyo nchi ndio imesimama inasubiri kiyama tu,lakini ukiangalia vyombo vya habari vya kwao watu wanakula na kucheka kama kawaida.
 
Hii vita watu wakiijulia ni rahisi mno lakini wasipoijua...ni vita ngumu mno. Ogopa kitu inaitwa uoga, unapigana na kitu usichokiona, kinga ya mwili inashuka ukipata vimafua huyooo unazidi kuwa na hofu mwisho wa siku unapoteza. Watanzania tuzidi kuwa majasiri, na ndiyo kitu alichotuachia mwendazake.
 
Lock down muda mwingine haina maana sababu huwezi kuzuia ugonjwa unaosambazwa na hewa kwa kuwafungia watu ndani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna wakati akili ikiingia kazini inasema vita ya kiuchumi ni mbaya kuliko watu Wengi wanavyoijua, fikiri nchi nyingi ikiwepo Brazili haziwatumii watu wao sawa sawa ili kuzalisha ili kuleta faida kwa nchi zao, je si mipango ya nchi moja au mbili kutengeneza vitu kama hivi ili kushambulia mipango ya nchi nyingine na rasilimali watu ili zisiwafikie?
 
Nimeona leo BBC swahili huko Brazil wanazika usiku kuepusha foleni mchana kwamba wakizika mchana jinsi watasababisha hadi foleni kwa wingi wa mazishi, jamaa mmoja kafiwa na baba ake , analalamika kwamba kama baa angepata chanjo basi angekuwa hai.
 
Nimeona leo BBC swahili huko Brazil wanazika usiku kuepusha foleni mchana kwamba wakizika mchana jinsi watasababisha hadi foleni kwa wingi wa mazishi, jamaa mmoja kafiwa na baba ake , analalamika kwamba kama baa angepata chanjo basi angekuwa hai.
Ngoja tuone baada ya kufunguliwa kila mmoja akaishughulisha akili yake katika kazi utakuta vifo vitapungua sana.Watashangaa na sisi tutazidi kuona vita ya corona ugumu wake uko wapi.
 
Ngoja tuona baada ya kufunguliwa kila mmoja akaishughulisha akili yake katika kazi utakuta vifo vitapungua sana.Watashangaa na sisi tutazidi kuona vita ya corona ugumu wake uko wapi.
Hiyo hata Tz mwanzo si ilikuwa hivyo hivyo mara wanazika usiku mara mtu akijisikia kuumwa kidogo tu anakimbilia hospitali hadi wakawa wanajaa huko hospitali kuumwa hawaumwi bali ni hofu tu, madaktari walikuwa wanaogopa wagonjwa unaweza ukaenda hospitali unaumwa malaria ila ukafa kwa kukosa huduma wauguzi wanaogopa.

Ilikuwa hatari sana, yule meneja wa Diamond SK aliwekwa Karantini basi anasema wale wahudumu walikuwa hata kumpelekea chakula wanaogopa kumsogolea ikabidi hadi awaambie wamuwekee chini atachukua mwenyewe. Huwa nafikiri sijui ingekuaje kama hali ile ingeendelea hadi sasa.
 
Wanaoukuza huu Ugonjwa ni wale wanaonufaika nao...Ni ajabu sana Ugonjwa unakuzwa sana...
Na bahati nzuri na Mwenyezi Mungu nae kwa ujuzi wake usio kifani hizi chanjo wanazotaka kujitajirisha nazo kila moja ina matatizo yake.Mara zimesimamishwa kwa kugandisha damu ,mara zimeruhusiwa ...
 
Na wataendelea kupukutika wasipoacha maasi. Katika bara la Amerika ni marekani na brazili ndio mataifa yanayoongoza kwa starehe/maasi/uchafu. Mwenyezi Mungu alichokikataza kina madhara yake.

Tena hao ilitakiwa ardhi igeuzwe juu chini kwa uchafu unaofanyika pale


Katika bara hilo i wish siku moja nikatembee taifa la Argentina hata kuhamia kabisa kwa watu wanaojitambua, na ndio maana hata visa vya corona co vingi kama brazili na marekani
 
Back
Top Bottom