corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijogoodi

    #COVID19 Dunia inatakiwa ije kujifunza Tanzania kuhusu Covid-19

    Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani (lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo. Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na...
  2. beth

    India: Maambukizi ya Corona yafikia Milioni 25

    Maambukizi Nchini India yamefikia Milioni 25, ikiwa ni Taifa la pili ulimwenguni kufikia idadi hiyo baada ya Marekani. Visa vipya 263,533 vimerekodiwa katika saa 24 zilizopita na kupelekea jumla ya maambukizi kuwa Milioni 25.23. Idadi ya maambukizi mapya imekuwa ikipungua katika Taifa hilo...
  3. beth

    Singapore: Watoto waonekana kuathiriwa zaidi na aina mpya za Virusi vya Corona

    Mamlaka zimeonya aina mpya za Virusi vya Corona vimeonekana kuwaathiri zaidi Watoto na kutokana na hilo, masomo ya Shule zote za Msingi na Sekondari yataendelea kutoka nyumbani kuanzia Jumatano Mei 19 hadi Mei 28 ambapo Muhula utamalizika Haijawekwa wazi ni Watoto wangapi wamepata maambukizi...
  4. T

    Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  5. Sam Gidori

    #COVID19 India: Maambukizi ya Corona yapungua

    India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo. Maambukizi mapya 326,098 yameripotiwa ndani ya saa 24 zilizopita, pamoja na vifo 3,890, ingawa wataalamu wa...
  6. B

    Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

    Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane? Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi? https://dailynews.co.tz/news/2021-05-14609eaf9137c04.aspx...
  7. R

    Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

    Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
  8. meningitis

    Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

    Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona. Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu. Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka. Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa...
  9. Kinuju

    #COVID19 Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya Corona kabla ya kufanya utafiti wa faida na madhara ya chanjo hiyo kwa watanzania. My take. Chanjo ya...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Tafiti: Corona inasababisha uhanithi

    Watafiti wamechapisha katika Jarida la Afya ya Wanaume kuwa Virusi vya Corona vinaweza kusababisha mwanaume kushindwa kusimamisha Tafiti imeonesha kuwa Corona huathiri mishipa ya damu ambayo pia hupeleka damu kwenye dhakari, hivyo ikiathiriwa hupelekea tatizo hilo Wanasayansi wameona haja ya...
  11. M

    Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

    Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana. Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na...
  12. B

    Pamoja na Eid, ndugu Waislam Tusisahau Corona Ingalipo

    Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri. Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana! Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo...
  13. Cannabis

    Wataalamu wasema Askofu Gwajima amepotosha ukweli kuhusu chanjo ya corona

    Dar es Salaam/Dodoma. Wakati Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikihitimisha mjadala wa bajeti yake jana, baadhi ya wataalamu wamemkosoa Askofu Josephat Gwajima kwa msimamo wake kuhusu chanjo ya corona. Gwajima, ambaye ni mbunge wa Kawe (CCM) alitoa angalizo hilo Mei...
  14. M

    #COVID19 Kwa jinsi kirusi cha Corona cha India kinavyosambaa sasa Afrika, nikiambiwa hakijafika Tanzania nitashangaa

    Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika. Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
  15. J

    #COVID19 Jikinge na Covid-19 ofisini

    Ikiwa mnakaa chumba kimoja ofisini, tenganisha viti angalau mita moja ili kujikinga na maambukizi ya #Corona
  16. Analogia Malenga

    SUA: Panya wanaweza kutumika kubaini Corona na kupunguza gharama na maumivu

    Baada ya mafanikkio makubwa ya utafiti wa matumizi ya Panya kwenye kutambua mabomu na vimelea vya kifua kikuu na mambo mengine, Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA wanasema kuna uwezekano mkubwa wa Panya hao kutumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya Corona...
  17. Erythrocyte

    Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  18. Sam Gidori

    Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  19. Nigrastratatract nerve

    Ajenda ya Corona na Wazee wa Dar es Salaam; Usizunguke zunguke, nyooka kama rula

    WAZEE WATATULIWE CHANGAMOTO ZAO, WASITUMIKE KUHALALISHA MATAKWA YA WATAWALA Jana Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. Kama kawaida, wazee walipigwa "sound", wakapiga makofi, wakapiga picha, wakala FUTARI wakarejea...
  20. S

    #COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

    Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19. Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na...
Back
Top Bottom