connection

In mathematics, and specifically differential geometry, a connection form is a manner of organizing the data of a connection using the language of moving frames and differential forms.
Historically, connection forms were introduced by Élie Cartan in the first half of the 20th century as part of, and one of the principal motivations for, his method of moving frames. The connection form generally depends on a choice of a coordinate frame, and so is not a tensorial object. Various generalizations and reinterpretations of the connection form were formulated subsequent to Cartan's initial work. In particular, on a principal bundle, a principal connection is a natural reinterpretation of the connection form as a tensorial object. On the other hand, the connection form has the advantage that it is a differential form defined on the differentiable manifold, rather than on an abstract principal bundle over it. Hence, despite their lack of tensoriality, connection forms continue to be used because of the relative ease of performing calculations with them. In physics, connection forms are also used broadly in the context of gauge theory, through the gauge covariant derivative.
A connection form associates to each basis of a vector bundle a matrix of differential forms. The connection form is not tensorial because under a change of basis, the connection form transforms in a manner that involves the exterior derivative of the transition functions, in much the same way as the Christoffel symbols for the Levi-Civita connection. The main tensorial invariant of a connection form is its curvature form. In the presence of a solder form identifying the vector bundle with the tangent bundle, there is an additional invariant: the torsion form. In many cases, connection forms are considered on vector bundles with additional structure: that of a fiber bundle with a structure group.

View More On Wikipedia.org
  1. Tommy 911

    Naomba msaada wa connection ya field, nasoma BSc in Chemistry

    Habarini Wana JF, Kijana wenu naomba mnisaidie connection nipate sehem ya kufany field. Maeneo ya field ni viwandani, migodini, viwanda vya dawa vyuoni as laboratory scientist NB: Nimejaribu kutuma barua ya maombi sehem mbalimbali lakn hakuna majibu na muda wa field unakarbia. 🙏
  2. DR HAYA LAND

    Vijana wanakosa connection kwa kuomba omba hela

    Kwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela, hii inaua connection kwa haraka sana. Haya mambo sita unabidi kuyazingatia kijana Kuhakikisha unakuwa Giver na sio taker. Self improvement -jifunze namna ya kuwasiliana na...
  3. Z

    Mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie

    Habari za wakati huu wakubwa. Samahani, mimi ni kijana umri miaka 26. Nina Bachelor Degree ya Ualimu. Ninapatikana Morogoro kwa sasa. Naamini mbali na kushare taarifa mbalimbali pia tunaweza kusaidiana
  4. B

    Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

    Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k. Pia kwa kufanya hivyo...
  5. G

    Nataka niwahi kuhudumiwa TRA na sina connection. Niende muda gani nisaidiwe mapema?

    Naombeni muongozo. Sina connection TRA. Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana. Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
  6. E

    Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

    Habari, rejea kichwa cha habari. Jinsia: Me Umri: 28 yrs old Mafunzo: JKT Uzoefu wa kulinda: 3yrs Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka...
  7. KIBUGAmk

    Anawezaje kupata Chuo?

    Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima...
  8. Kizibo

    Natafuta connection ya maduka ya jumla ya liberty jijini Mwanza

    Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe mwongozo wa Kuwa naagiza bidhaa za dukani kutoka mwanza kuja Kisiwani Ukerewe. Natanguliza shukrani wakuu
  9. P

    Naombeni connection ya kazi

    Naombeni connection ya kazi VIWANDANI nipo Dar, Hotel,Dukani, Kufanya usafi,n.k
  10. MKONGORO

    Naomba Connection katika kazi za ujenzi

    Wakuu habari Majukumu! Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua), Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki. Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...
  11. X_INTELLIGENCE

    Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

    Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana. Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri...
  12. D

    Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

    Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa Dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. Kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini. Shughuli zingine ni ndogo ndogo ambazo watasaidiana na mama. Uwezo wa malipo ni Tsh laki 1 kwa mwezi pamoja...
  13. maenge

    Ntafuta kazi ya store keeping

    Habari mwenye connectionya kazi ya store au inayoendana na cheti cha records anichek,tusaidiane wakuu,kipoozo kipo
  14. sky soldier

    Chuoni tuliaminishana kwamba ni sehemu ya kujenga connection za ajira lakini kiuhalisia ajira za connection 90% ni za kifamilia ama kindugu tu

    Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana. Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection...
  15. H

    Nahitaji connection ya kupata chumba kwenye nyumba za NHC Dar

    Hi, Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali. Eneo langu la kazi ni Posta...
  16. LIKUD

    Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
  17. C

    Msaada wa connection CRDB Bank kwa anayeweza nisaidia

    Ni majuzi hapa nimeomba MKOPO wa CRDB kwenye biashara wakahitaji vielelezo vyote nikawapa. Dhamana ipo (nyumba) iliyopo 25km tokea High Way, wakaenda itembelea dhamana wakajitidhisha ila wakaniambia POLICY yao haiwaruhusu kukopesha dhamana iliyo mbali kiasi hicho. Wakaniambia kwamba nitafute...
  18. N

    Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time. Nilikuwa...
  19. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  20. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Wanaoajiriwa kwa njia ya connection kwa kupachikwa wanaingia na nundu mgongoni

    Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi. Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Back
Top Bottom