Wlan connection ya cpe mbil

100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
3,626
12,058
Kwema wazee?
Nataka nifanye connection ya cpe kwa umbali wa km 1.

Baada ya kufanya research nimeona kuna hivi vifaa wanaita cpe mfano tp-link cpe610 ambazo kuna hizi kampuni za kutoa huduma ya internet huwa wanazitumia.
3964079_NjAwLTYwMC03M2M5NzQyMGY2LTE.webp

Nahitaji kufunga ziwe mbili niwe napeleka video high quality kutoka computer moja kwenda nyingine umbali 1km wirelessly , sijapenda kutumia ethernet cables.

Kwa mwenye uzoefu hii inawezekana.
 
inawezekana kabisa mkuu, ila hakikisha pawe na clear line of site kati ya izo antenna mbili, obstacles kama miti na majengo kati izo two antennas yaweza athiri ubora wa signal au hata ku block kabisa!

kama umbali (range) wa mahitaji yako ni exactly 1km bas tafuta kifaa chenye uwezo zaidi ya iyo 1km (atleast 1.5km au 2km) kwasababu mara nyingi kama kifaa kipo advertised kuwa na range ya 1km ukija kwenye uhalisia ni less than a km!

kumbuka pia kufanya proper alignment kati ya hizi antenna mbili during installation. ni unidirectional antenna)

lastly, zingatia pia bandwidth ( uwezo wa ku transmit data) ya ivo vifaa kama zina meet mahitaji yako mkuu.

chek specifications sheet hizo details zote utapata!
 
Nashukuru sana kaka.

Hii naona umbali ni 35km nahisi itafaa zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom