Vijana wanakosa connection kwa kuomba omba hela.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,025
45,568
Kwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela ,hii inaua connection kwa haraka Sana.

Haya mambo sita unabidi kuyazingatia kijana

@ Kuhakikisha unakuwa Giver na sio taker.

@ Self improvement -jifunze namna ya kuwasiliana na Kuwasilisha jambo kwa lugha inayoeleweka.

@ Mungu - kuwa na misingi inayoenesha unazingatia uwepo Wa supernatural power.

@ hakikisha wale watu wako muhimu hauwaombi hela bali kazi tu ,usiombe hela utaua brand mapema Sana.

@ Uaminifu - hakikisha unakuwa mwaminifu usiibe hata 50 ya MTU

@ Kushukuru - Gratitude iwe unafanya kila Siku
 
Copy and paste
 
Utaua brand gn wakati huna pesa.?

Watakuaje Giver wakati hawana cha kutoa.?

Mm nawashauri watafute njia wanazoona ni rahisi kufanikiwa, kama ni ujambazi bc wafanye hvy.
In long run benefits you will end up being broke or you will lost Peace of mind

When you steal from other you steal from your self

Life is an Echo
 
Kuomba helaa na kupata Connection ni vitu viwili tofauti.

ACHA VIJANA WAOMBE HELAA!

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Back
Top Bottom