computer

  1. Zinnob5

    Degree ya computer science

    Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
  2. dennoo_appliances

    Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  3. M

    Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

    Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake. Zina nini hizi?
  4. Nijosnotes

    SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
  5. kiboboso

    Computer inawaka na kuzima

    Wakuu msaada wenu hapa. Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga wowowte kwenye screen. Wazee wa tech msaada wenu hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?
  6. Replica

    Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  7. mitindo huru

    Computer4Sale Computer CPU inauzwa kwa bei nzuri

    Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800. CPU bado ipo katika hali nzuri, niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka. Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure. Bei ni laki mbili tu. CPU ipo...
  8. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
  9. Barackachess

    Msaada wa keypads za HP Spectre 360

    Habari, Naombeni msaada wa wapi naweza kupata keypads za HP SPECTRE kama mnavyoona kwenye picha hapa chini, kama kuna mtu unazo naomba tuwasiliane tufanye biashara, Namba yangu ni 0687855558. Hp spectre 360 Touch cpu 2.5ghz ram 8gb ssd 256gb core i5 silver
  10. mitindo huru

    INAUZWA Computer CPU naiuza kwa bei nafuu

    Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu Ni Dell Vostro Ram 4 GB Hard Disk 800 GB Bei laki mbili (200,000/=) Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
  11. Fohadi

    Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

    Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika. Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
  12. Alex Gk

    Ninunue desktop computer yenye specifications gani ili baadae ni upgrade mwenyewe?

    Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies. Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti. UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza graphics hususani video editing na design mbalimbali kwa kutumia programs za Photoshop...
  13. M

    Computer4Sale Computer, Laptop na Printer ndogo sokoni

    Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
  14. M

    INAUZWA Computer na printer vinauzwa, vipo Dar es Salaam

    Bidhaa zote zipo ktk hali nzuri ZIlikuwa zinatumika ofisini Bei ni laki 7 tu Kwa mhitaji tuwasiliane kwa namba 0625825641 Karibuni sana
  15. ndege JOHN

    Pendekeza kitu gani nijifunze ili nipate hela

    Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar. Halafu...
  16. GIRITA

    Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
  17. 6WaS9

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  18. Last sentinel

    Basic Computer Application

    Hellow wanajamii?Habari,Ninatafuta kazi ya kufundisha soma la Basic Computer Application katika vitu vifuatavyo. 1.Introduction to Computer 2.Microsoft Word 3.Microsoft Excel 4.Microsoft Publisher 5.Microsoft Powerpoint 6.Microsoft Excel 7.Internet and email Pia nafundisha na basics of...
  19. B I N A M U

    PC yangu inagoma kuleft click

    Habari za sasa hivi wakuu. Msaada PC yangu inagoma kuleft click. Kwaiyo nikahamua kutumia external mouse nayo imeanza kumisbehave inaji double click sometimes msaada jamani nashindwa kufanya kazi
Back
Top Bottom