computer

  1. Toto la bi shayo plumber

    JamiiForums Tanzania Tunauza Plumbing material

    Duka la vifaa vyote vya bafuni na masink ya jikon na dining bila kusahau mabomba ya maji. Duka linapatikana Kariakoo/Gerezani mtaa wa mbaruku/Nyamwezi str,dar es salaam, Tanzania. Mawasiliano:+255677713490 (whatsapp) WAHI UPATE MZIGO MZURI KWA BEI NZURI[emoji1478]
  2. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma computer science pia nina uzoefu wa ualimu

    Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance and troubleshooting 3. Photocopy Mantainance and troubleshooting 4. Printer Mantainance and...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
  4. kidi kudi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu MacOS Computer

    Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa...
  5. Complex

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Jipatie Computer Yenye SSD Storage, RAM 8 GB kuanzia 349,000 Pekee

    Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana teknolojia. Ozone Technologies imerudi tena kivingine katika mwaka huu wa 2023 kuhakikisha kila mtu anakuwa na Computer mpakato yenye kasi na ufanisi. Ili wateja wetu wapate kufurahia kasi ya computer watakazonunua kutoka kwetu, tumehakikisha computer zetu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Computer graphic, photoshop, illustration, Logo design, printing, marketing

    Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience. Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wapi napata latest generation tablet na desktop/laptop computer ?

    Hello wapi hapa mjini (maduka gani ?) Dar napata latest generation tablet na desktop/laptop computer kwa bei nzuri - reasonable price?
  8. kali linux

    JamiiForums Tanzania INSTINCTS ARE MATHEMATICAL / MACHALE NI MAHESABU :: From my personal experience as a Data Engineer and Computer Programmer

    Hello bosses........ Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga kwenda safari lakini ghafla tu unaamua kuahirisha halafu unasikia basi ulilopanga kusafiria...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu sababu za computer kuzima ghafla unapoitumia?

    Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako! Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate ufafanuzi ni sababu zipi hupelekea kutokea kwa jambo hili. Sababu hizi ni kama ifuatavyo; 1. Laptop...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hii ni milio mbalimbali (Beep noise) inayoashiria kuwepo hitilafu kwenye computer yako

    Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
  11. Gadget_accessories_tz

    JamiiForums Tanzania Tunauza phones, computers, accessories na home appliances kwa bei nafuu

    .
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nauza harddisk za computer

    Habari, Harddisk za desktop na Laptop Na CCTV Camera zinapatikana. Zipo za ukubwa mbali mbali, kama 320GB, 500GB, 1TB, 2TB, 4TB. Ukihitaji mawasilliano 0673330618
  13. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada, WIFI adapter ipi iko vizuri kwenye computer?

    Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
  14. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

    Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. Zina sifa zifuatazo. 1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. 2. Ina Live location na live tracking. 3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa. 4. Inahifandhi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwezo unaoweza tishia ulimwengu ni pamoja na system hacking kuanzia mifumo ya si mpaka computer

    Je! Unajua unaweza kudukua Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua...
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Umechoshwa na Computer yako kuwa nzito? Suluhisho ili hapa

    Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi kuliko mwenye Computer yenye RAM 8 alafu inatumia HARD DRIVE yakawaida. Sio bei kubwa mdau wangu, ni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Human brain vs computer

    Umeshawahi kujiuliza hivi ubongo wa binadamu na computer kipi kina uwezo Zaidi?, basi hili swali ni moja ya swali maarufu sana ambalo wanazuoni wengi wamekuwa wakijiuliza na kulifanyia utafiti, kwa miaka mingi. Wengine wamejaribu kulimit comparison katika Nyanja nne ambazo ni , Energy...
  18. Bongo Trust

    JamiiForums Tanzania Natumiaje kompyuta kupata kipato?

    WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI? Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Agricultural Tutor II – Computer Science at Wizara ya Kilimo 5 posts

    POST AGRICULTURAL TUTOR II – COMPUTER SCIENCE – 5 POST EMPLOYER Wizara ya Kilimo APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules...
  20. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo kizuri dar cha bussiness marketing and computer networking!

    wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021. nisaidien wide range of choices. uzazi kazi!
Back
Top Bottom