Computer Systems Designing -Uundaji wa mifumo ya computer mbalimbali

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
212
Habari wakuu,

kama kichwa kinavyojitangaza, mimi kama mtaalamu wa mambo ya kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer, nawakaribisha kwa mwenye uhitaji wa mfumo wa aina yoyote, niko hapa kukusikiliza na kukuhudumia.

Mfano wa systems ambazo unaweza kuhitaji ni kama ifuatavyo ( Naomba udhuru kwa kutumia lugha ya kiingereza kuiorodhesha maana saa zingine kiswahili chake ni kigumu zaidi)
  • Intranet
  • Contacts Management
  • Task Management
  • Document Management
  • Point of Sale
  • Hotel Management
  • Hospital Management
  • Rental Management
  • Queue Management

Na kadhalika

Kwa ambao yupo serious tuwasiliane kwa private zaidi nitampatia number yangu tuweze kuongea.

Bei ni kama bure.

MJC
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom