kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

Pole naona kimya...
Swali ni hivi....kusomea Electrical Engineering , Je unazijua hisabati kwelikweli na pia fizikia...yaani kwa elimu ya bongo, hakuna kubabiababia au watakula kichwa.....
Maana hata ukipata nafasi kama hivyo viwili ni mtihani , basi jiendeleze tu na masomo ya computer ujiajiri.....
 
Kwani computer ndio haiitaji hesabu na fizikia?
 
Inawezekana ni G.P.A yako tu ya diploma iwe imemeet cut off point , na utapiga 4 years baada ya 3 years kwa relevant course kwa vyuo kama DIT japo MUST walishatoa huo mfumo nafikiri kuanzia mwaka huu wote ni 4 years kwa kozi za engineering.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom