Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema.
Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop
Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya.
Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
Tunafunga (HD) CCTV Camera kwa bei nafuu kulingana na mahitaji yako.
Kuona eneo lako ukiwa mbali
Kutoa Alarm
Intruder motion detection via PIR and image verification
Automatic Day/Night Mode with IR Filter
Pia tunatoa Huduma za kiufundi kwa maswala yote ya ICT...
Computer Motherboard Repair...
Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu.
Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.