computer

  1. Savagethug

    JamiiForums Tanzania Je, nifuate computer science au film and multimedia and film technology??

    Shikamooni, Mimi ni form four graduate na Nina mpango wa kwenda college for further studies. Nina division 2 na nimebalance science subjects zangu zote pamoja na computer studies Kwa wastan wa "c". Napenda sana mambo ya graphics sana sana motion graphics and animation. Nilikuwa nataka...
  2. Alfred

    JamiiForums Tanzania Drafti zuri mithili ya "Dalmax Checker" kwa ajili ya computer

    Niaje wadau, Bila shaka humu kuna wanazi wa kutosha wa mchezo wa Drafti. kwa mfano kwenye simu kuna Checkers by dalmax ni nzuri kwa kweli sema haina version ya pc. Je kuna mwenye kufahamu drafti zuri kwa ajili ya PC! Uzi tayari!
  3. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

    Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
  4. Gadget_accessories_tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesoma Computer Science

    Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project Vigezo Awe amemaliza chuo mwaka jana Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
  5. Flowerpot

    JamiiForums Tanzania Natafuta internship au kazi pale nitakapo maliza Diploma 2 in computer science. Au constructive criticism

    Habari, mimi ni mwanafunzi IFM mwaka wa pili dip in CS(nilianza certificate). Namaliza masomo mwezi wa 7. Natafuta internship, kazi au hata ushauri wa portfolio na skills. Nina skills za Html, css, JavaScript. JAVA (na oop), Oracle Sql, kotlin (na oop), adobe illustrator na blender 3D. Android...
  6. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni vyuo vinavyofundisha computer science na requirements zake

    Nisaidieni kwa hilo Maana nataka nijiunge nisaidieni kuorodhesha kadri mtakavyo weza Vyuo vya Computer Science Ahsante
  7. V

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Acer na Hp computer AIO for sale

    Nauza computer Acer na Hp all in one zipo katika hali nzuri sana. Acer specifications Ram 8gb, Hdd465 seriously buyer contact 0712652110 Dar Majohe Price 450000 neg
  8. V

    JamiiForums Tanzania Desk top computer for sale

    Nauza Dell desk top Intel core 2 duo,8GB na 320HDD.Zipo zaidi ya kumi ,from a closed office in UK. Ni nzuri safe kwa mtu anaehitaji kufungua computer centre.Seriously buyer only to contact 0712652110 Dar Bei 350000 mazungumzo yako .Huo mzigo sio wa kukosa
  9. Termux Black

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Karibu nauza laptop, Computer na nafanya maintenance

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless -VGA...
  10. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KIJANA ANAYEJUA COMPUTER

    Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube 2.Website 3.Instagram page 4.facebook page Pia Ajue program za Editing angalau...
  11. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta kijana anayejua Computer

    Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube 2.Website 3.Instagram page 4.facebook page Pia Ajue program za Editing angalau kidog...Tutafanya...
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kompyuta kwa bajeti ya Tsh 250,000-350,000

    Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana. Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705) Location nilipo ni...
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Komputa inauzwa, ipo Igoma mwanza 300k only, Brand new

    Ram 3gb Rom 500gb bei 300,000 iko kwenye box lake, yani mpya 0713096076 kwa muhitaji piga simu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Computer test interview

    Habari zenu wapendwa, Jamani naomba msaada kwa aliyewahi kufanya computer test interview na shirika la Peace Corps, huwa hasa wanabase kwenye kitu gani? Asante sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop Computer dell

    Nauza used Dell computer Ram 2GB Hard disk 320GB CPU duo 1.6ghz Screen 15' Bei 300,000/= maelewamo yapo KARIBU MAHALI Dar es salaam
  16. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Muda - Computer application

    Habari za mwaka mpya waungwana. Natafuta msichana wa kufundisha watoto basic computer application. Hakuna masharti mengi ni haya tu. 1. Uwe Dar es salaam 2. Ujue computer applications (Basic) 3. Uwe na uwezo kumuelekeza mtoto Kazi ni ya muda tu ila panapo majaaliwa inaweza kuwa ya kudumu...
  17. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

    niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
  18. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha

    Habari wana JF? Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi Ahsante!🙏
  19. D

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

    Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
  20. Mbomozo

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

    Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
Back
Top Bottom