Inawezekana bila shida cha msingi uwe na diploma nzuri ili ukubaliwe kusoma degree.Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.