Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

Mtumishi Anyi

Member
Sep 11, 2018
31
18
Habari za kazi wakuu,

Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia nitakua nimekurahisishia kazi ya kupeleka kifaa chako kwa fundi, nitafute kwa namba: 0766428475

Natanguliza shukrani.

Ahsanteni
 
Dah! sasa utazungukia watu wangapi, ungetengeneza kwa njia ya mtandao hapo sawa, shida nin?? pango au?? Kutengeneza simu au tv sio kama kuchimba shimo la taka ujue? aya mimi niko Kiembe samaki utakuja?
 
Eleza shida yako mkuu, mi nakuja tu, nina experience nahii kazi kwaio usiwe na was
 
Nicheck mkuu kadi hiyo kwaajili ya subwoofer zlizogoma tengenezeka kbs
Screenshot_20210524-212952.jpg
 
Na TV ya Aborder 32" kioo cha display cha ndani kimepasuka unatengenezaje ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom