chuoni

Chuoni Football Club abbreviated as Chuoni FC is a Premier League football club in Zanzibar based in Unguja Island.

View More On Wikipedia.org
  1. One yes

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Habari wakuu!! Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma. Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao. Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
  2. Kson Investment

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuepuka chuoni

    Ni vitu gani vinakwamisha kitabu kusonga mbele ukiwa chuo kikuu mfano UDOM?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliambiwa tufike Chuoni St. Francis kwa gharama zetu sababu mitihani tuliofanya imepotea kwa ahadi ya kuwa refunded, sasa wanagoma kutulipa

    Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo. Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

    Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma. Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, serikali ina mpango gani na watu ambao wamenufaika na ufadhilii wa kusoma nje ya nchi?

    Habari za leo watanzania wenzangu. Mimi ninaomba kuuliza kitu kuhusu ufadhilii serikali inaoutoa nje ya nchi. SerikImekuwa ikitoa ufafhili ambayo mimi naweza kusema ni wa kisiasa zaidi na hauna malengo madhubuti kwani baada ya hao waliofadhiliwa kurejea nchini baada ya kuhitimu masomo wanaanza...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  10. Street brain

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuoni bila mishe yoyote ni magumu

    Habari wanajf....... Nawasalim kwa jina la jamuhuri ya jf....... Leo nipo na mada moja ni kuhusu maisha ya chuoni .... Mimi nipo chuo fulani Ivi apa Tanzania nasoma bachelor of Accountancy with information technology, Nilichagua hiyo programu maana ni kitu napenda na pia napenda kuwa programmer...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Wizara ya Elimu: Kuhusu cut point za kuingia chuoni kwa waliomaliza Form Six 1980s- 2014

    Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu. Wiziri alipandisha kwenda cut point 4 Kila chuo badala ya cut point 2 hili suala liliwaumiza vijana...
  13. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anawezaje kupata Chuo?

    Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima...
  14. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

    Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
  15. Muwa mtamu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
  16. TTCC_TECNO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

    Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]. Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Chuoni tuliaminishana kwamba ni sehemu ya kujenga connection za ajira lakini kiuhalisia ajira za connection 90% ni za kifamilia ama kindugu tu

    Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana. Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

    Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana. Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu. Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine. Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaombeni uzoefu wenu wale mlioweza kuwatoa mabinti bush kuwaleta mjini, wana nafuu ?

    Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
Back
Top Bottom