Chuoni tuliaminishana kwamba ni sehemu ya kujenga connection za ajira lakini kiuhalisia ajira za connection 90% ni za kifamilia ama kindugu tu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana.

Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection wewe wakati ana msululu wa watoto zake, ndugu zake, ndugu wa mkewe, watoto wa marafiki zake, n.k. wanaozitaka ajira.

Ajira nyingi za connection utapigiwa na wazazi wako, wanafamilia wenzako, ndugu zako, rafiki wa familia au ndugu, n.k. ni ngumu sana ajira za connection zitoke nje ya tight circle.

Binafsi nilisoma na mtoto wa mzito hapa nchini, wengi sana walikuwa chawa wakiamini watapigiwa connection wakimaliza chuo lakini kati ya hao wote ni moja tu ambae walikuwa mabesti kama 5 na 6 ndie aliepigiwa connection, tena ni marafiki tangu mzito huyo akiwa na cheo cha kawaida sana, wengine hadi sasa walijipatia ajira kwa bidii zao ama connection za tight circle.

Hata kwangu mimi nakumbuka ajira ya kwanza nilipewa connection na rafiki wa familia kwenye kampuni private, huku serikalini sikuwa na connections kiukweli nilisota sana hadi kuipata
 
connection muhimuu mazee ndani ya life...kuna comrade wangu toka pale udom amenipiga bonge la koneksheni kwq ili jimamaa uku manyaraa tunakoendelezaa uokozii...napiga show la kipalestina leooo
FB_IMG_1701968447862.jpg
 
Kwa mwanaume anayetokea familia masikini, asie na connection, asiye na bahati, asiye na uchawi wa faida, asiye na muonekano mzuri/nadhifu/utanashati/ au wale wanaoitwa mahandsome badala yake uwe domo zege/mchafu mchafu nikupe tu UKWELI MCHUNGU kuwa dunia haina huruma na maisha yako, chamoto utakipata haswa mpaka ujute kuzaliwa.

Sio vitisho lkn cha msingi unachopaswa kukijua ni kuukubali huu ukweli mchungu na kuupokea kwa mikono yote miwili na kuukumbatia huu ukweli na ndipo sasa uianze vita ya kupambana dhidi ya maisha ya unyanyasaji wa wananzengo hapa duniani.

Mwanaume wa aina hii aliyekosa hizi sifa, vita yake ni kubwa sana hapa dunian, farajapekee na furaha ya kweli utakayoipata ni Kumiliki pesa zako nyingi za kukufanya uzibe pengo la kukosa sifa tajwa hapo juu kwa kukitengenezea kizazi chako&watoto wako maisha bora na yenye muendelezo wa utajiri hata usipo kuwa hai(mali&connection) la mwisho ni kuwatafutia wanao mama bora na mrembo haswa ili uondoe hizo kasoro zako na uepushe aibu ndogo ndogo kwa kizazi chako.
 
Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana.

Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection wewe wakati ana msululu wa watoto zake, ndugu zake, ndugu wa mkewe, watoto wa marafiki zake, n.k. wanaozitaka ajira.

Ajira nyingi za connection utapigiwa na wazazi wako, wanafamilia wenzako, ndugu zako, rafiki wa familia au ndugu, n.k. ni ngumu sana ajira za connection zitoke nje ya tight circle.

Binafsi nilisoma na mtoto wa mzito hapa nchini, wengi sana walikuwa chawa wakiamini watapigiwa connection wakimaliza chuo lakini kati ya hao wote ni moja tu ambae walikuwa mabesti kama 5 na 6 ndie aliepigiwa connection, tena ni marafiki tangu mzito huyo akiwa na cheo cha kawaida sana, wengine hadi sasa walijipatia ajira kwa bidii zao ama connection za tight circle.

Hata kwangu mimi nakumbuka ajira ya kwanza nilipewa connection na rafiki wa familia kwenye kampuni private, huku serikalini sikuwa na connections kiukweli nilisota sana hadi kuipata
Watoto zake
 
I think you are right. Yes you are right.
 
Soma na rudia tena kusoma ulichokiandika.
 
Umeongea pwenti. Waambie na wale wanaosemaga eti ukimpeleka mtoto wako English Medium anaenda kupata connection.
 
"Amelaaniwa amtegemeaye Mwanadamu na kumfanya Mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu"
 
Kwa mwanaume anayetokea familia masikini, asie na connection, asiye na bahati, asiye na uchawi wa faida, asiye na muonekano mzuri/nadhifu/utanashati/ au wale wanaoitwa mahandsome badala yake uwe domo zege/mchafu mchafu nikupe tu UKWELI MCHUNGU kuwa dunia haina huruma na maisha yako, chamoto utakipata haswa mpaka ujute kuzaliwa.

Sio vitisho lkn cha msingi unachopaswa kukijua ni kuukubali huu ukweli mchungu na kuupokea kwa mikono yote miwili na kuukumbatia huu ukweli na ndipo sasa uianze vita ya kupambana dhidi ya maisha ya unyanyasaji wa wananzengo hapa duniani.

Mwanaume wa aina hii aliyekosa hizi sifa, vita yake ni kubwa sana hapa dunian, farajapekee na furaha ya kweli utakayoipata ni Kumiliki pesa zako nyingi za kukufanya uzibe pengo la kukosa sifa tajwa hapo juu kwa kukitengenezea kizazi chako&watoto wako maisha bora na yenye muendelezo wa utajiri hata usipo kuwa hai(mali&connection) la mwisho ni kuwatafutia wanao mama bora na mrembo haswa ili uondoe hizo kasoro zako na uepushe aibu ndogo ndogo kwa kizazi chako.
Una mtazamo hasi sana, kama ingekua maisha ndio yapo hivyo tusingewaona mahandsome wanateseka mtaani na maisha wanazeeka. Asilimia 90 ya wakuu wa taasisi na viongozi wetu sura zao zipoje? Asilimia 90 ya viongozi wanawake sura zao zikoje. Asilimia 90 ya wanawake wanaojiuza na kuuza Pub sura zao zikoje. Asilimia 90 ya wanawake wanaoongoza kuombaomba mitandaoni sura zao zikoje. Asilimia 90 ya wanawake wanaofanya biashara zao sura zao zikoje (Mama Bonge). Asilimia 90 ya wanamuziki wa Tanzania hasa wanaume sura zao zikoje usiisahau NIGERIA, usiwasahau wakina Ed Sheeran ???? Ukipata majibu hayo utagundua MAISHA NI KUTUMIA AKILI, KUFANYA BIDII NA KUOMBA MUNGU. BAADA YA HAPO SUBIRI BARAKA ZA MUNGU WAKO KWA MAANA RIDHIKI HUTOA MUNGU.

HIVYO NDUGU YANGU BEBA BEGI LAKO LA AKILI, BEBA BEGI LAKO LA BIDII NA BEBA BEGI LAKO LA MAOMBI. NENDA STENDI YA MAFANIKIO ILI GARI LA BARAKA ZA MUNGU LISIKUPITE.

MAMA BORA NI YULE TU MWENYE AKILI WALA UBORA WA MAMA SIO SURA. YAANI MWANAMKE MREMBO NDIO AWE MAMA BORA? KUNAWATU WANAOA MWANAMKE MREMBO WANAZAA WATOTO WAREMBO WANAANZA KUJIUZA MIILI YAO SINZA KWASABABU YAKUHISI UREMBO WAO NI PESA. WAKATI WENGINE WANAOA MWANAMKE WA KAWAIDA TU ILA MWENYE AKILI NA WANAZAA WATOTO WANAKUA VIONGOZI AU WAFANYA BIASHARA WANAJITEGEMEA.
 
Back
Top Bottom