Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,143
20,301
Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana.

Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu.

Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine.

Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la wanafunzi 50. Basi humo kila mwananke anaonekana mzuri.

Wakati huo nasoma huku tumetoka vijijini tunakutana na wavaa suruali za kubana kutoka St Marian, St josefu, St Amosi na st john na wachache kutoka Kirakara, Tabora girls na huko kwingineko basi tuliwaona ni wakali sana. Na wao kwa kulinga sasa Hiiiiiii! bhagosha.

Baada ya kutoka Nje ya Box nikaenda field huko Mbeye na baadae Dar es Salaam nilijilaum sana.

Uswazi kumejaa magoma ya kufa mtu. Kwanza wasafii. Akitembea huko nyuma kunatetemeka kama vibrations........tititititi.....hata akisimama ghafla ule mtikisiko unaendelea.

Kwa wale wapenda vipotable ndio mahali penyewe.

Huku hakuna mambo ya Elimu sana. Unakutana na wasukaji kwenye saluni, wauza Duka Makumbusho na Mwenge. Mama wa Nyumbani na wajasiriamali tu.

Mambo ya Yes or No hakuna.

Unachukua jiko unaweka ndani unazalisha tu mambo yanasonga.
 
Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana.

Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu.

Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine.

Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la wanafunzi 50. Basi humo kila mwananke anaonekana mzuri.

Wakati huo nasoma huku tumetoka vijijini tunakutana na wavaa suruali za kubana kutoka St Marian, St josefu, St Amosi na st john na wachache kut
Hebu iweke vizuri. Kuna kitu unataka kusema lakini una kigugumizi.

Iweke vizuri.

By the way, hata hao wa chuoni ni wa mtaani. Na mathalani, ni wa huko huko vijijini.
 
Hebu iweke vizuri. Kuna kitu unataka kusema lakini una kigugumizi.

Iweke vizuri.

By the way, hata hao wa chuoni ni wa mtaani. Na mathalani, ni wa huko huko vijijini.
Hahaha sawa......nikilinganisha naona huku mtaani ni wa moto sana.

Chuoni ilitokana na kuwa circle ni hiyo hiyo tu.
 
Hebu iweke vizuri. Kuna kitu unataka kusema lakini una kigugumizi.

Iweke vizuri.

By the way, hata hao wa chuoni ni wa mtaani. Na mathalani, ni wa huko huko vijijini.
Wa chuoni is looking in the eys ef o beholder
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom