chuo

  1. JamiiForums Tanzania Mh. Lissu naomba ukishinda uikuze elimu yetu angalau mtu akifika chuo kikuu aongee Kiingereza kwa ufasaha

    Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania. Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui. Wapo watakaosema mbona Urusi na...
  2. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama chuo ngazi ya Diploma

    Habari za kutwa wana jamvi la elimu. Husika na mada tajwa apo juu. Leo nilikuwa niko na rafiki yangu yeye amepata Dvs two point 12 flat D na anatamani sana kusoma MD ila akajiamini kweli ana weza kusoma MD kwa mwaka huu. Ameomba KCMC UDOM pamoja na St Francise ila amekosa vyote. Amekaa...
  3. JamiiForums Tanzania Nina 3.9 GPA Diploma nitapata Chuo cha Ardhi Bachelor of Science in Accounts

    Msaada wa mawazo nimehitimu dipl ya uhasibu TIA gpa inasoma 3.9 nitapata kweli Ardhi university b science Accounts.
  4. JamiiForums Tanzania Aliebahatika kupata chuo kwa kutumia matokeo ya foundation ya Open aje hapa

    Wahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round! Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana uwaambie na ufaulu wako ulikuwaje! Karibun wadau
  5. JamiiForums Tanzania Nimebahatika kuapply chuo kimoja tu,vingne mtandao unagoma

    Kwa wengne hali ikoje jaman?? kwangu mtandao umengomea kabisa
  6. JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gan ili nisikose chuo kwenye second round?

    Mbinu ipi ya kutumia kufanya application ili npate chuo? Je, kuapply vyuo vingi ni njia moja wapo itakayokufanya upate chuo?
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nihakiki chuo gani kati ya hivi?

    Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur wenu ni chuo gani na koz gan nzur niconfirm itakayonisaidia hapo baadae. Vyuo na kozi hizo ni; 1...
  8. JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa Chuo cha Ushirika Moshi (MOCU) 2020/2021

    List ya waliochaguliwa round ya kwanza io apo
  9. JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu maisha baada ya Chuo

    Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu. Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae amemaliza chuo mwaka huu juzi juzi tu hapo afanye kitu gani ili kupambana na maisha ya kila siku? vile...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua chuo cha mafunzo ya elimu ya michezo na ukocha (DAR)

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amezindua kituo cha Dar es Salaam cha Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya. Chuo cha maendeleo ya Michezo Malya, ni Chuo pekee kinachotoa stashahada ya michezo hapa nchini kwa kuzingatia...
  12. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Luhanga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe kwa kipindi cha pili

  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angeiendeleza vizuri Chato kwa kujenga Chuo Kikuu

    Ujenzi wa Chuo Kikuu Chato ungekua na justification ya kupeleka fursa ya elimu kwa watu wa ukanda wa Geita, Kagera mpaka Kigoma. Hili hata bungeni lingepita kirahisi na isingemletea kashfa. Chuo kikuu kinakusanya wanafunzi, hii huleta mzunguko wa hela kwa biashara hasa kwenye malazi, chakula...
  14. JamiiForums Tanzania Niko njia panda, ushauri unahitajika

    Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya. Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama una mtoto Sekondari na unataka asome hadi Chuo Kikuu na huna uwezo kumlipia, linganisha sera uchague sahihi usije baadaye kujilaumu

    Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao. "Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Makerere lateketea kwa moto

    Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa moto zimewaumiza wengi Hadi sasa chanzo na kiwango cha hasara iloyosababishwa na moto huo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

    Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
  19. JamiiForums Tanzania IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia. Je, wewe unasemaje? Tuwasaidie watakao drop baadae😊
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…