chuo

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CВЕ 21 Novemba, 2023, DODOMA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
  2. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza dakika chache baada ya kumaliza chuo: Kujilipua na Kujihatarisha (risk taking) kutakusaidia kutoboa mapema kuliko kusubiri utaratibu

    Niliingia first Year nikiona mwaka wa mwisho wote wanaijiwa na waajili wakaanze kazi. Siku namaliza hakuna hata hata mmoja aliyekuja. Hali ilikuwa imebadilika. Nilikuwa nimeshaapa sirudi nyumbani afe kipa afe beki. Plan B Niliandaa barua na CV kama 200 hivi. Za elimu zote, form 4, six, ya chuo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Wakazi wa Mpanda watakiwa kukithamini Chuo cha VETA Mpanda

    Wakazi na wazawa Mkoa wa Katavi wametakiwa kuwasomesha vijana wao katika chuo cha Ufundi Stadi VETA Mpanda ili mkoa upate wataalamu watakaochochea shughuli za kiuchumi katika mkoa huo. Maoni hayo yametolewa na Frank Atanas na Jesca Wambali ambao ni baadhi ya wazawa wa Katavi ambao wameiasa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  8. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Kiengereza kitumike shule za umma tokea msingi mpaka chuo

    Habari zenu. Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu. Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini. Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA. Mtoto akifika...
  9. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Wanafunzi Chuo cha Mbeya Training College, Chuo hakijasajiliwa kinatoa vyeti feki

    Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana (2022) wakati tunajiunga na chuo hiki ada ilikuwa ni Shilingi Milioni 1.36 na mmiliki wa chuo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyuo Vikuu inakataza Wanafunzi kujihusisha na Siasa ndani Chuo

    Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo? Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika shughuli za...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Bahari (DMI) chaingia mkataba wa kubadilishana uzoefu na chuo cha Italy

    Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Chuo cha Italian Shipping Academy Kilichopo nchini Italy ya kubadilishana uzoefu katika mafunzo ya ubaharia na kushirikiana katika tafiti na miradi ya maendeleo ya uchumi wa buluu MOU hiyo imesainiwa nchini Italy na...
  13. ushahd

    JamiiForums Tanzania Second batch HESLB 27/10/2023

    Salaam wana jamvi Kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili Samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza? Maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
  14. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma. Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi. Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa...
  16. Alves124

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Habari zenu ndugu zangu wa JF Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi Sasa juzi wakati nacheki student...
  17. ALPHA2012

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  18. ERoni

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

    https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi. Short description kwa wasio na bundle; Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
Back
Top Bottom