christmas

  1. V

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  2. Nyamayanguruwe

    Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  3. Sky Eclat

    Mfalme Henry VIII alitumia £ 13.5 M kwa kusheherekea Christmas mwaka 1509

    Alifanya sherehe, aligharamia chakula na kununua zawadi. Wajakazi wake wote walipata zawadi. Mama aliyeleta mpira wenye marashi alipewa £488 na aliyeimba shairi alipewa £2,400. Pesa aliyotumia kwa Christmas ya mwaka huo ilikua sawa na makusanyo ya kodi ya mwaka mzima. Huwezi kuwalaumu...
  4. Zanzibar-ASP

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas. Mpaka sasa bado nipo Uchagani. Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua...
  5. E

    Krismasi ya leo ni tulivu haina mbwembwe wala madoido

    Nimeamini pesa ndio chanzo cha maovu yte duniani Sijawahi kuona CHRISTMAS tulivu kama ya leo. Christimas ya leo nitulivu haina mbwembwe wala madoido. Mitaa imejaa bodaboda wanaosubiri wateja. Ma- guest yapo wazi, mabaa yanapiga mziki kuita watu lkn ukiingia unakuta peupe. Leo makanisa...
  6. X

    VIMBWANGA MATUKIO CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

    Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani mwaka huu nawe bandika vyako :D:Dtamka neno moja la kijasiri :D Mubashara
  7. S

    Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

    Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo. Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani? Ni matarajio yangu...
  8. Barbarosa

    President Trump and beautiful first lady Christmas message !

    Hata mimi siku hizi Demu wangu namshika mkono kama Trump !
  9. Erythrocyte

    GE2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  10. Sherlock

    SGR fully booked till 3rd January as air fares rise ahead of Christmas

    The Standard Gauge Railway (SGR) passenger train service from Nairobi to Mombasa is fully booked until December 27, 2020 as travelers flock the coastal city to enjoy the festivities. Bus operators are also fully booked with some increasing their operations upwards of 75 buses daily to meet the...
  11. J

    Nawatakia CHADEMA Christmas yenye baraka

    Kwenu Daudi Mchambuzi, Mrangi, Tindo, Salary slip, BAK, Chakaza, Mmawia Quinine, Molemo na Erythrocyte Nk....Nk. Ninawatakieni Christmas yenye baraka tele, kama kawaida mimi nitakuwa Useri kwa minajili ya kufunga mwaka. Bwashee erythrocyte wasalimie hapo Kyela akina mh Kinanasi na wengine...
  12. Kasie

    Christmas 🎄 Love 💖Byte 💋

    Habariza kuamka, Natumai nyote hamjambo, ule msimu wa maraha umewadia. Kasie Mahaba nalipelekesha gurudumu la Mahaba mpaka mahaba yaseme imetosha. Niko zangu kwenye kochi nimevaa kiblauzi bila sidiria na kikaptula matirio ya T-shirt, nimejikunyata joto kali kiasi upepo mtulivu kwa mbali hewa...
  13. Chakorii

    Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

    Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..😊😊wengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu kageukia upande wa dunia yake visirani na gubu vimetamalaki😁😁..wengine ndo kama sisi tu naona...
  14. T

    Christmas bado siku 23

    Yewomi eeeeh, yewomi eeeeh, yewomi eeeeh Christmas cha mshikha. Wachaga tutafute hela aisee muda wa kurudi kwetu umefika, nyama choma na bia lazima viwepo.
  15. Mshana Jr

    Flora Mbutananga spates na mkasa wa kuibiwa Christmas 2019 kisa ahadi ya engagement

    Come easy go easy..... Hakuna mapenzi mpaka kufikia kuvishana pete ndani ya masaa 48 tangu kufahamiana... Hapo lazima mmoja apigwe Wabongo muvi.. Mungu anawaona na ndio maana hata tasnia yenu hii inaelekea kaburini.. Kwasababu ya wizi, uongo utapeli na kudanga... Chanzo cha yote haya ni kutaka...
  16. Avriel

    Mbunge Lameck Airo agawa pipi na bazoka kwa wagonjwa wodini

    Video fupi ikumuonyesha mbunge Wa Rorya ndugu Lameck Airo ( Lakairo) akigawa jojo na pipi kwa wagonjwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. R

    Jana Christmas 25/12/2019 wewe hukwenda kanisani, kulikoni?

    Naona hukwenda kanisani na wewe unampenda Yesu. Sijasikia mahali popote kuwa umekwenda Kanisani jana, kulikoni? Leo nenda kaombe na kamshukuru Mungu akubadilishe uwe kiumbe kipya kiroho!
  18. Analogia Malenga

    Mzee aiba pesa na kuzitoa kama zawadi akisema 'Merry Christmas'

    Bwana mmoja mwenye ndevu nyeupe alifanya uvamizi wa benki siku mbili kabla ya Krismasi na kuzirusha juu kwa furaha na kuwatakia kheri ya siku kuu wapita njia, mashuhuda wameeleza. Polisi wamethibitisha "mwanaume mzee wa kizungu" alivamia benki ya Academy mjini Colorado Springs, Marekani siku ya...
  19. M

    Christmas Celebration

    Abrahamic / Middle Eastern Christianity Why Do We Celebrate Christmas? History and Controversy Surrounding the Celebration of Christmas Why Do We Celebrate Christmas? When was the Savior's real birthday? Was Jesus born on December 25? Since the Bible doesn't tell us to commemorate Christ's...
Back
Top Bottom