Mbunge Lameck Airo agawa pipi na bazoka kwa wagonjwa wodini

Huyo ni katibu wake. Sasa inawezekana kagawa kwa maelekezo ya boss wake au kajiongeza tu.

Ila vyovyote vile wamekosea sana kugawia mawajawazito pipi wakati wana mahitaji ya muhimu kuliko hizo pipi zao. Wapelekee wanafunzi sio wazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
LK huwezi mkuta anagawa pipi yaani aache zake kula wine na kukata uno.

Muda huu wako bize na wakina Musukuma,Chegeni wanakula maisha tu huo muda wa kugawa pipi hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anagawa pipi ya sh 50 au mia. Hii inaonyesha ni kiasi gani wabunge wana madharau
 
Back
Top Bottom