Tuna ndugu kama kaka , dada, wajomba, shangazi, baba mkubwa, n.k. wapo wenye dini tofauti na hatujawahi kuwa na tatizo. Tumekua tukiishi kwa upendo na uelewa.
Kizazi hiki kilichozaliwa kwenye uhuru wa kuchagua na kuishi, mke na mume wanweza kuwa wa dini tofauti na hata mmoja akibadili dini kwa...
Shalom shalom
Salam alaikum
Tusikubali udini ukatutafuna.
Padri akibaka tusiseme ukirsto haufai
Sheik akila akiua tusiseme uislam tuukatae
Dini zote ni za Mungu wanaoziharibu ni binadam
Huu uzi utunzwe.
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.
Hatoboi popote.
Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana!
Utopolo watamfukuza.
Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya
Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa tofauti ikabidi kiongozi wa familia aitishe kikao cha dharura kwaajili ya kutambulisha wageni upya
Sikukuu ya Christmas ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo [Mungu] ambaye alizaliwa Israel katika mki wa Bethlehemu , miaka 2024 iliyopita.
Wachagga, katika kikao chao cha Mwisho wa mwaka 2024 wameomba vijana wao Bungeni akina Mkenda, Tarimo, Mollel na Ndakidemi waiombe serikali...
Wasambazaji/wauzaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani.
Population ya ukristo nchini China
-According to a 2023 Pew Research Center analysis, about 2% of Chinese adults identify as Christian, which is roughly 28 million people.
China ndio taifa kubwa la ukana mungu duniani.
Wachina kwao...
1. Kuzaliwa kwa Yesu ni habari njema ya furaha kuu(Luka 2:10-11).
Malaika walipoleta habari ya kuzaliwa kwa Yesu walisema hiyo ni habari ya FURAHA KUU. Na kwamba furaha hii kuu itakuwa kwa watu wote. Kusherehekea Christmas ni udhihirisho kuwa tumeipata furaha kuu katika mioyo yetu.
2. Kutimizwa...
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...
Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..
Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...
Ahsante sana
Update::
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sema mood jau sana mi title sijaweka...
Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu.
Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
Welcome On board...
Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap
Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24
Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!
Ila ona huku mpaka leo kimya..
Tujikumbushe hapa
Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni
Jim reeves:
•Seno Santa Claus
•Jingle bells
•Silent night
•Mary's boy child
SILVER BELLS:
"City sidewalks, busy sidewalks
Dressed in holiday style
In the air
There's a feeling
Of Christmas
Children laughing
People passing
Meeting...
Mimi ni mkristo tangu nimeingia /kuzaliwa nasherehekea kitu nisichojua maana yake zaidi yakufuata mkumbo tu basi naomba anaefahama kuchimbua agano la kale kabla ya kristo kuzaliwa ilikuaje na baada ya kristo kuzaliwa ikawaje mpk tunasherehekea.
Hivi miaka yote sikukuu ya kidunia na katika...
Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie.
kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.