Flora Mbutananga spates na mkasa wa kuibiwa Christmas 2019 kisa ahadi ya engagement

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,791
Come easy go easy..... Hakuna mapenzi mpaka kufikia kuvishana pete ndani ya masaa 48 tangu kufahamiana... Hapo lazima mmoja apigwe

Wabongo muvi.. Mungu anawaona na ndio maana hata tasnia yenu hii inaelekea kaburini.. Kwasababu ya wizi, uongo utapeli na kudanga... Chanzo cha yote haya ni kutaka kuishi maisha ya juu tofauti na uhalisia unaotokana na kupewa umaarufu bandia na magazeti ya udaku
Mbuta na ujanja wake kapigwa ndefu fulani kuanzia kumgharamia mchumba mavazi starehe, pesa ya pete 2m, fedha tasilimu, matengenezo ya gari chakula mavazi nknk.. Aliyempiga si mwingine bali ni mbongo muvi na genge lake

Diamond anawafahamu vema wabongo muvi.. Hana hamu nao walimchanganya akachanganyikiwa kabisa...
Ukikutana na bongo movie wamechafua meza jua tu ya kwamba kuna lofa keshapigwa mahali au ndio Don kwenye hiyo meza
Mbuta sijui ninini kilimchanganya mpaka kugawa kipapa the same nite alipotongozwa.. anyway alikolezwa na wenye mji wao.. Wasiojua kutofautisha maisha halisi na kazi zao....

Bongo movie wameuanza mwaka kwa DOA kubwa jeusi la aibu ya wizi na utapeli

FLORA+WITH+MCPILIPILI+2015+071.jpeg


Jr
 
Hawa wasanii wa Bongo nilikua najiuliza kwa nini hua wanatumiwa sana na wanasiasa lakini jibu nimepata kumbe umasikini ndio unaowasumbua hivo wakitanfaziwa visenti kidogo wanawehuka kwa kupenda vya bure


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kapigwa kweli sio utani wala kiki
Huyu na chupi lake kama pampers,alafu anavyo onekana dish limeyumba,wacha wampige tu.

Ila sizani kama kapigwa,nahisi KIKI hii manake anavyosimulia,kama yule mama anayesimulia hadithi watoto kwenye kipindi cha mama na mwana Radio Tanzania.

Jr
 
Back
Top Bottom