Mr Putin JF-Expert Member Feb 13, 2019 486 491 Mar 4, 2021 #1 Ndege ya Qator na KLM zilizobeba chanjo,zilipofika tu!wa katumia Helicopters kusambza kwenye hospitali za mikoa.
Ndege ya Qator na KLM zilizobeba chanjo,zilipofika tu!wa katumia Helicopters kusambza kwenye hospitali za mikoa.
Papi Chulo JF-Expert Member Jun 8, 2018 6,260 7,389 Mar 5, 2021 #5 Haka kajamaa mbona kapo fasta sana,huenda kana mahusiano ya karibu sana na beberu
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,272 Mar 5, 2021 #6 Huku kwetu nyungu zimefungwa Mloganzila na Muhimbili
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Mar 5, 2021 #7 Kwanza wahakikishe wakubwa wote wanachanjwa kisha matajiri na watu muhimu...(joke)
wa kupuliza JF-Expert Member Jun 15, 2012 15,226 37,574 Mar 5, 2021 #8 Wataleta makorona ya ajabu ajabu-Mwanasayansi nguli
N ngebe JF-Expert Member Jun 8, 2020 1,789 5,105 Mar 6, 2021 #9 wa kupuliza said: Wataleta makorona ya ajabu ajabu-Mwanasayansi nguli Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,454 4,376 Jul 4, 2021 #10 Naby Keita said: Acha tuone majaribio Click to expand... Majaribio?
green rajab JF-Expert Member Oct 16, 2015 11,305 35,852 Jul 4, 2021 #12 Ka Nchi kana kiherehehhe haka
mwanawao JF-Expert Member Aug 18, 2010 3,142 5,634 Jul 5, 2021 #14 Hiv Rwanda nayo ina mikoa? Maana yenyewe kama kamkoa tu😂😂😂😂