chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

    Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake. Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burundi pia yaacha ukaidi, yakubali chanjo ya COVID-19

    Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo: Ufahamu Ukweli Ukuepushe na Makanjanja

    Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo. Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata wasiojulikana na mabunduki yao wakajiunga kwenye harakati hizo kama watendaji wakuu. Tulipo leo ni kwenye...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden ataka kutolewa Dola 100 kwa kila atakayepata chanjo ya COVID-19

    Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19 100x2399= 239,900 hii ni kweli? ==== Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Itengwe siku maalum ya chanjo kitaifa

    Katika kuhakikisha kila mwananchi anachanjwa inapaswa kutengwa siku maalum ya chanjo nchi nzima Kama ilivyo siku ya uchaguzi Mkuu
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  7. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Vaccination Post team supervisors

    Qualifications and Requirements For appointment to the post of Regional Coordinator, a candidate must; A university degree in any health science discipline, social science, international studies, public administration, economics, engineering, earth sciences or a related field is required. At...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"

    Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...
  9. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

    Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga. Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID19 kuanza kutolewa kwa Makundi ya kipaumbele

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali imepokea Dozi 1,058,400 tu hivyo Makundi ya Kipaumbele yatakayopewa ni Watumishi wa Sekta ya Afya waliomstari wa mbele, Wenye umri wa miaka 50 na zaidi na Wenye Magonjwa Sugu Makundi mengine yataendelea kupata chanjo kadiri Serikali...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze chanjo aina nyinginezo

    Kwakuwa serikali imeamua kupambana na Covid -19 kwa chanjo, na kwakuwa zipo aina mbalimbali za chanjo ya CORONA, Nakwakuwa pia wapo waliodhamiria kuipata chanjo hiyo basi ni vyema wakaongeza na aina nyinginezo, ili pengine mtumiaji akawa na uhuru wa kuchagua apatiwe aina ipi. #maonihuru.
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Nimechanja chanjo ya COVID-19 jana na niko salama

    Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona. Nia ya bandiko hili ni kuwajulisha ninavyoendelea kadri siku zinavyokwenda. Mpaka sasa na leo niko salama na nita update...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo inaposubiriwa huku Uhasama Ukitamalaki

    Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...
  14. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Nyungu ni bora zaidi ya hizo chanjo tunazoletewa

    Hivi hizo chanjo dozi million (1) ambazo wameleta kuwafanyia watanzania (wananchi ) majaribio wakati sisi tupo zaid ya 50 milion ma zaidi na...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

    Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia. Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali. Watu hawa sijui ndo kama wanaakisi maoni ya Watanzania kwa ujumla; yaani Watanzania wengi kuikataa...
  16. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Chanjo, Lockdown, Uchumi na Mitego ya Kiintelijensia: Tanzania ya 2022

    Uwezo wangu wa kisiasa, kiuchumi, na ki-intelijensia ni mdogo sana. Naomba niliweke hili wazi mapema. Sisi ndiyo wale tunaouliza lini "Brazil itacheza na Manchester". Ninachompendea Mama, tofauti na JPM ni tabia yake ya kuwa brief. Hotuba ya Mama usipoiwahi basi utakuta amemaliza. Harudiirudii...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Msidanganywe kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe!
  18. Melchizedek

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukataa kuchanjwa chanjo za COVID 19

    Chanjo kama chanjo Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo! Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali ! Aina ya chanjo za awali [ English ] 1 BCG vaccine (...
  19. Melchizedek

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tunaogopa Chanjo ya Corona

    Chanjo kama chanjo Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo! Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali ! Aina ya chanjo za awali [ English ] 1 BCG vaccine (...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Unavuta sigara na kunywa pombe kali...unaogopa chanjo?

    Mtangazaji Maulid Kitenge ametoa hoja katika swali kuwapa changamoto wanaokataa chanjo Amesema kama unatumia pombe kali na unavuta sigara ambazo zinakuweka katika hatari ya magonjwa na kufariki, unaogopaje chanjo ya #COVID19 Je, unaionaje kauli ya Kitenge, kiungo mshambuliaji?
Back
Top Bottom