chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Madiwani watano wa CHADEMA jiji la Arusha wajivua madaraka

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha. Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

    Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli. Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na...
  3. JamiiForums Tanzania Inatarajiwa madiwani kumi na wawili wa Chadema Arusha mjini watajiunga na CCM kuanzia kesho

    Acha wale watano waliounga juhudi leo kuna namba kubwa zaidi tena ikitarajiwa kuamua kwa pamoja kurejea CCM muda wowote kuanzia kesho. Duru zinatabanaisha maombi ya madiwani hao yapo mezani yakifanyikiwa kazi na Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha na hata wangeruhusiwa leo kufanya hivyo wangefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

    Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama 1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa. 2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

    WanaJF Habari za hivi Punde ni kwamba Jabali la kisiasa Tanzania na Afrika Tundu Antipas Lissu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa na tayari amekwisha jaza fomu na kuzirejesha. Akihutubia mkutano mkuu wa Kanda ya Kaskazini hivi Punde,Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee wetu Sumaye huu ni wakati wa kurudi nyumbani. CHADEMA wanahisi wewe ni pandikizi

    Wasalaam, wahenga wana msemo kwamba usipookoboa utaula wa chuya. Kufuatia wimbi la viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutimkia CCM (hasa wale waliohamia kutoka CCM) wana CHADEMA asili wamejenga hofu ya kutowaamini viongozi wote waliosalia ndani ya CHADEMA ambao walihamia kutoka CCM. Hapo juzi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa CHADEMA wa kumpigia kura za NDIYO/HAPANA mgombea pekee aliyepitishwa na Kamati Kuu ni wa "Kishamba"

    Kamati Kuu inaketi na kupitia fomu ya mgombea kisha inaridhika kuwa mgombea huyo ana sifa za kuwa kiongozi na kwahiyo inampitisha. Baadae mgombea huyo pekee aliyejitokeza katika jimbo lake baada ya wanachama wengine kutogombea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungukiwa sifa au kumuunga...
  9. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa ndani CHADEMA: Kanda ya Kati wamkataa Nyalandu. Wadai haaminiki anaweza kuunga juhudi wakati wowote

    Amani iwe nanyi, Katika kile kinachoonekana kuwa ni "Joto la Uchaguzi " Kanda ya kati hali si shwali kwa upande wa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Kanda Mhe Lazaro Nyalandu anayetupa karata yake kumkabili Kijana machachari Sana Alphonce Mbassa Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Lazaro...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

    Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48 Hivyo, nafasi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu na Mbowe nani imara kuiimarisha CHADEMA?

    Tumeona kazi nzuri ya Mheshimiwa Freeman Alikael Mbowe, ni kazi safi sana ambayo imeweza Kuijenga Chadema katika kipindi kirefu zaid, Yaweza kuwa uimara wa Mbowe au udhaifu wa mpinzani wake wa kipindi anapata Uenyekiti namaanisha Mpinzani mkuu wa CHADEMA alikuwa CCM, Mazuri ya Mbowe...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

    Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu. Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale...
  13. JamiiForums Tanzania Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

    Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya! Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu! VIVA TUNDU! Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wasiige vyama vya upinzani wenyeviti wake Kitaifa kukaa madarakani muda mrefu?

    Si vibaya kujifunza kutoka kwa chama kikuu cha upinzani kwani mimi naona wanafanya jambo zuri sana kwa maslai mapana ya Chadema, kwani Freema Mboe atakuwa na miaka zaidi ya 30 ofisini. Hivyo CCM nao waige wampe Magu hata miaka 20 au 30 tu kama wanavyofanya vyama vya upinzani kwani huu uwe...
  15. JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Hili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA? Yaani ni kama Wamarekani waseme ni kwa nini wajerumani wanaendelea kumchagua Angela Merkel kuwa Kansela wao. CCM kuhusu Mwenyekiti wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Bora CHADEMA ni ruksa kugombea uenyekiti kuliko CCM ambako ni kosa kugombea Urais mpaka Rais aliyepo amalize kipindi chake cha pili

    Cha ajabu, watu hawa ambao kwao ni mwiko kum-challenge Rais alie madarakani katika kugombea uraisi kupitia chama chao,ni watu hawa hawa wako busy kumshambulia Mbowe na CHADEMA kwa ujumla kisa tu Mbowe kaamua kugombea tena. Hawa watu ni wanafiki sana na lengo lao kubwa sio kutetea demokrasia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

    Ni Jumatano tulivu.Kukiwa na maandalizi ya tukio kubwa la kisiasa kwa siasa za Tanzania. Vijana wa CHADEMA katika majimbo yote 10 ya mkoa wa DSM watakwenda kumuomba rasmi Freeman Mbowe agombee kwa mara nyingine Uenyekiti wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari Mratibu wa kampeni ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini. Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda. Source...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya viongozi wa CHADEMA yaahirishwa baada ya Mbowe kuugua Dengue

    Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu amehairisha kesi inayowakabili viongozi wa Chadema baada ya mmoja wa washtakiwa mh Mbowe kuugua ugonjwa wa Dengue. Source ITV habari ========== Kesi inayowakabili viongozi tisa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania imeshindwa kuendelea kwa hatua ya...
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya uenyekiti na ngazi nyingine kikanda zinavyominya demokrasia ndani ya CHADEMA

    Uchaguzi wa chama cha demokrasia na maendeleo unaoendelea mpaka sasa tumeanza kushuhudi uminywaji wa demokrasia, ukabila na ukanda vimeshika kasi kubwa. Kwa wazoefu wa uchaguzi ndani ya chama hicho wameeleza wazi kuwa ndani ya chama kumekuwa na ngazi za uongozi zimeonekana kuwa ni za baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…