chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameathirika na " Hofu" baada ya kijana wake kupambana na Corona lakini CHADEMA ni kubwa kuliko familia

    Binafsi nakubaliana kabisa na wabunge wa CHADEMA kujiweka katika karantini kwa sababu hiyo ni haki yao ya kikatiba ya kulinda uhai. Kilichonishangaza kidogo ni namna Chadema inavyofanya maamuzi bila vikao rasmi vya kikatiba kuketi. Kwa mfano wabunge wa chama kutoingia bungeni ni muhimu wakapata...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa Ubungo amfukuza Meya Jacob kwa kutumia katiba ya zamani ya CHADEMA ambayo haitumiki

    Meya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua. Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna Wabunge wa CHADEMA wataenda bungeni kesho

    Nashauri Chadema iwapuuze maana ni wale walio kwe list ya kuunga mkono juhudi na kwenda Ccm kabla ya uchaguzi october. Chadema wapuuzeni waacheni waende wakapambane na Corona.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

    Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima. Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo. Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameachwa kwenye mataa

    Wamesalitiwa na vyama vingine ambavyo inaonesha dhahiri kuwa nia yao si nzuri ndani ya Tanzania Chadema wameonyesha ngozi yao halisi kwenye hili janga LA Corona wametoka hadharani na kuionyesha Dunia kuwa wanataka watanzania wengi waugue na wafe kwa Corona ili kwao uwe ni mtaji wa kisiasa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe wabunge waliohamia CCM kutokea Chadema siyo " minesterial material" naona teuzi zinawapitia mbali hadi wengine wanarudia

    Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu. Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani? Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo. Maendeleo hayana vyama!
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

    Kuna barua zinasambaa zikidai Mayor Jacob amefukuzwa uanachama CHADEMA na hivyo kuvuliwa umeya. JamiiForums imemtafuta Meya Jacob ambaye amesema barua ya kufukuzwa kwake imechongwa na hata Katibu anayedaiwa kuandika barua ya kufukuzwa kwake hajaandika barua hiyo. Ameshangaa kuona barua...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili nakubaliana na Chadema, Ushujaa ni kufia vitani ukiwa Jeshini au mhudumu wa afya akiwa hospitali anatibu lakini siyo bungeni!

    Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria. Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa. Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa haijulikani Corona itaisha lini, napendekeza CHADEMA wasiweke mgombea hata mmoja kwenye ubunge na udiwani ili kujikinga

    Binafsi nawapongeza sana Chadema kwa uoga waliouonesha wa hali ya juu sana, yaani wao wamejiona bora sana kuliko wananchi tuliowachagua na kuwatuma Bungeni wakatutetee katika hali zote. Uamuzi walioufanya nimeupongeza kuwa hawa jamaa wamedhihirisha kuwa tulikosea kuwachagua. Wametukimbia wakati...
  10. denooJ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mnachukia tunapohamia NCCR Mageuzi?

    Tulipambana sana kukijenga chama lakini kwa fitina na tamaa mbaya mkakiharibu chama chetu. Hii ilikuwa mwaka 2015. Na namna mlivyokiharibu kila mtu anajua. Kujiunga na chama chochote kile ni haki ya kila mtu kama ilivyowekwa wazi katika ibara ya 20(1) ya Katiba ya JMT. Tunahamia NCCR Mageuzi...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA kutokuwa na mvuto kwa wafadhili wa mataifa ya nje

    Chama chochote cha siasa huwa na agenda yake ambayo huwa ndio roho ya chama Chadema kipindi cha Dk Slaa kilikuwa na agenda tena nzito ambayo ilikubalika na ilitikisa ndani na nje ikipigiwa makofi ndani ya nchi na nje ya nchi.La kujifunza kwa Dk Slaa ni kuwa Dk Slaa hakutetea maslahi binafsi...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

    Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu. Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya...
  14. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

    MTAZAMO NA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU JANGA LA CORONA NA ATHARI KWA TAIFA 1.0 Utangulizi: COVID 19 (Corona Virus Disease of 2019) ni ugonjwa usio na tiba unaoitesa dunia kitabibu, kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ni mlipuko wa ugonjwa unaosambaa kwa kasi na unaoua binadamu bila kujali...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Chadema anzisheni Chadema Charity’s #Convid 19

    Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa. Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hakiwavui uanachama Wabunge waliotangaza kuhamia NCCR Mageuzi?

    Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia. Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael...
  17. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi haina ushawishi kwa kizazi kipya, bado naamini CCM na CHADEMA vitaendelea kuwa vyama pendwa hapa nchini.

    Niwe tu mkweli kwamba naifahamu NCCR mageuzi tokea ikiwa katika harakati za kupigania mfumo wa vyama vingi. Kiukweli Nccr kimsingi siyo chama cha siasa bali ni taasisi ya harakati zilizojikita kwenye siasa ndio maana " Wanasiasa" huwa hawajiungi nacho na ikitokea mwanasiasa kaingia huko basi...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kuondoka CHADEMA na kujiunga NCCR Mageuzi

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini hatogombea ubunge wa Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CHADEMA

    Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza. Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wabunge wa Chadema waliohamia CCM ni wale " laini laini" ambao hawajawahi kukaa jela au kulala polisi?

    Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa. Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa. Wengine ......Ole...
Back
Top Bottom