chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Wengi wataikumbuka CHADEMA huku wakilia na kusaga meno, CCM ina wenyewe

    Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, CHADEMA ina udhaifu mkubwa mmoja: kuwaamini watu haraka;kuwapa sapoti kubwa na kuwapa maisha. Ndiyo maana, CHADEMA haiishi kupokea wanaokatwa CCM na kuwapa nafasi za kugombea Urais, Ubunge na Udiwani. Hiyo ni kuanzia uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nakukumbusha Kitila Mkumbo , kwamba 2015 CHADEMA ilimshinda Didas Masaburi wa CCM kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10

    Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe . Mtoto wa Mjini ...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

    Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya...
  4. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KINACHOITWA UCHUNGUZI WA TAKUKURU DHIDI YA CHADEMA Ndugu waandishi wa habari Mnamo tarehe 27 Mei, mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) walitoa kauli kupitia mojawapo ya vyombo vya habari nchini kuwa wanachunguza kile kilichoitwa michango ya...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete aliweza kukuza Gross National Income kutoka USD 500 mwaka 2005 hadi USD 940 mwaka 2015, ni kutokana na kuvutia uwekezaji imara!

    Asikudanganye mtu eti mambo anayofanya Rais Magufuli yanakuza GNI. Hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana katika utawala wake wa miaka mitano (5) ya mwanzo amepata matokeo ya hovyo kabisa kwenye GNI. Haiwezekani pamoja na kelele zote, sifa zote anazopewa na wasaidizi wake then akuze GNI kwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA msisahau kabla kampeni hazijaanza, Dkt. Magufuli tayari ana uhakika wa kura zaidi ya milioni moja!

    Siasa ni sayansi na mipango. Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais. Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza. Katika mazingira haya chama...
  7. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

    Watanzania wenzetu wasalaam, Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA 1. Oscar Kaijage Kaindoa 2. Bi Anna Dulle
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais Sababu ni hizi; Mosi, Tundu Lissu ni mgonjwa. Baada ya matatizo yaliyompata huyu ndugu yetu kule dodoma, uwezo wake wa kujenga hoja umeporomoka kwa kiasi kikubwa. I mean, Tundu lissu wa sasa ni tofauti kabisa na...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Singida Magaribi CCM tunaweza kulipoteza kwenda CHADEMA 2020

    Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara. CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA teteeni nafasi yenu ya KUB na ACT Wazalendo watoe Makamu wa Rais Zanzibar. Nafasi ya Rais CCM haipingiki

    Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya KUB kwa sababu bado hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT. Kwa sasa Rais Magufuli hapingiki kwa...
  11. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama chenye jengo la kisasa kama CHADEMA

    Baada ya makamanda kunishambulia sana nilipoleta uzi wa uzuri wa stand ya makao makuu ya nchi, nilijiuliza kwanini wanakuwa wabishi ndipo nilipoanza kuchunguza jengo la makao makuu yao pale mtaa wa ufipa, bila chembe ya unafiki nampongeza sana Mh Mbowe kwa jitihada hizi maana jengo ni classic...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

    Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu) Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Video: Hakika CHADEMA imekufa na huko Iringa Msigwa ajiandae kuachia Jimbo

    Poleni MATAGA!!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Saa ya mabadiliko ni sasa, si kwa Tanzania tu bali hata CHADEMA lazima ibadilike

    Mtia nia wa nafasi ya urais kupitia CHADEMA, Lazaro Nyalandu amesema saa ya mabadiliko imefika kwa taifa na chama chake cha CHADEMA. Nyalandu amesema endapo atapata ridhaa ya chama chake kugombea urais ataleta mabadiliko makubwa ndani ya CHADEMA na mabaraza yake. Chanzo: Clouds 360
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utaratibu wa uchukuaji fomu kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa CHADEMA sasa hadharani

  16. S

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kugawa vyeti kwa wabunge wa CHADEMA ni bora lingefanywa na CHADEMA Makao Makuu

    Nakumbuka siku chache baada ya Bunge kuvunjwa,nilitoa pendekezo kupitia Jukwaa hili la Siasa nikipendekeza wabunge wa CHADEMA waliomudu kumaliza ubunge wao wakiwa ni wabunge wa chama hicho wapewe vyeti kama njia mojawapo ya kuwapongeza kumaliza ubunge katika mazingira magumu waliokuwa nayo, na...
  17. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Chadema lazima tuchukue nchi endapo Mnyika atatuongoza vizuri

    Mnyika naomba usikubali watu walioshindwa kuitoa CCM madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta CCM. Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni, Bila kumsahau, Lipumba na Zitto kabwe na Maalimu Seif. Tanzania Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo Wananchi niwawakilishi tu...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Vyama vya NCCR - Mageuzi na ACT vimeandaliwa Kimkakati kabisa ili Kufifisha kama si Kuua kabisa Ufalme wa CHADEMA Kisiasa nchini?

    Nimedokezwa na Mtu kuwa vyama hivi Viwili vinaweza Kuunganika kwa muda kisha wakampokea Mwanasiasa Mmoja kutoka Mitaa ile ya Mnazi Mmoja na Lumumba ( ambaye Kafukuzwa Kimkakati ) anayewadanganya Watu kuwa ni Mpinzani wa kweli wa aliye Madarakani kwa sasa ili wamchague kama Flag Bearer Wao...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka historia: Mwaka 2015 CHADEMA iliingiza bungeni 23% ya wabunge wanawake wa kuchaguliwa Majimboni

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250. Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo. CHADEMA hongereni...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawasha moto Ukerewe

    Ikumbukwe kwamba hili eneo ni moja kati ya ngome imara mno ya Chadema kanda ya ziwa .
Back
Top Bottom