Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.
Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji.
#2020WanawakeTunawaaminia.
CHADEMA,
Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu.
Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu.
Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
Wanajamvi,
Naona kama kuna panic ya hali ya juu humu jamvini, ya members wengi maarufu humu mfano Troll JF johnthebaptist, wakidai kuwepo na kikao cha mwenyekiti wa CHADEMA na Membe kuhusu nafasi ya kuiwakilisha chadema kwenye uchaguzi mkuu wa rais mwaka huu Oktoba.
Lakini kwa uelewa wangu...
Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion.
The event followed by former Membe (former CCM cadre) who recently returned his Membership Card of the very powerful and influential party in Africa as its...
Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema.
Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia...
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea...
Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati wa pamoja juu ya namna bora ya kushirikiana katika uchaguzi huu,basi watakaofaidika na hali hii...
1. Ajira - Hivi inawezekanaje taifa kubwa kiuchumi inashindwa kuajiri watoto wake angalau hata ajira mpya za kiutumishi walau hata 20000.noma sana maumivu yapo wanafunzi hawana tena mwamko wa elimu wanapoona kaka zao wamesoma mpaka udaktari na hawana kazi. Chadema mje na sera ya kuwapaje watu...
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.
Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.
Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Kwa Urais wa Zanzibar, watachukulia Makao Makuu, Kisiwandui, Unguja-Tumaini Makene on...
Habarin wadau hope mpo poa nisiwachoshe twende moja kwa moja mzigoni CHADEMA ni chama kikuu cha upinzan ila kinapelekeshwa bila kujua km kinaendeshwa ebu vita picha zile kesi walizowekewa na walivypbanwa polisi inavyowaharasi lkn yote tisa kumi wamesema watashiriki uchaguzi eti NGOMBE HUYU...
Ndg wanajukwaa Habari,
Tumekuwa tukipigia kelele na kutaka mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu, hasa ya kiuongozi.
Binafsi ni mdau mkubwa wa kutaka mabadiliko, na sijawahi kabisa kukubaliana na njia nyingi za kiuongozi za JPM.
Umekuwa utawala wa kimabavu, kuumiza watu, ajira na ugumu wa...
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe tayari kwa lolote hata kama ni "kubadilisha gia angani" kama inatusaidia sawa. Magufuli ametumia kila...
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, CHADEMA ina udhaifu mkubwa mmoja: kuwaamini watu haraka;kuwapa sapoti kubwa na kuwapa maisha. Ndiyo maana, CHADEMA haiishi kupokea wanaokatwa CCM na kuwapa nafasi za kugombea Urais, Ubunge na Udiwani. Hiyo ni kuanzia uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.