jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Moja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi. Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
Wabunge wote wa Chadema waliopita walionesha failure kwa kujikita katika matukio ya kiinchi na kupinga kila kitu.
Kwa upande wa CCM Wabunge wake wengi walifanya lobbying na walifanikiwa haswa kwa kupata miradi mikubwa.