chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae Chadema ya Mbowe ni kiwanda cha kutengeneza wanasiasa makini kazi ambayo UVCCM wamefeli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa. Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa. Kwa mfano...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019. Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwambe " kutulizwa" na Rais Magufuli sasa nitamchukulia Tundu Lissu fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema

    Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe. Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa, Heche wajisalimisha mahakamani

    Ni kufuatia agizo la mahakama kwa kukiuka masharti ya dhamana. Wabunge hao ni Peter Msigwa, John Heche, Halima Mdee na Easter. Wabunge hao walifikishwa mahakamani kisutu lakini hawakuweza kupandishwa kizimbani na badala yake walirudishwa polisi chini ya ulinzi mkali. Source ITV habari...
  5. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Arusha: CCM wampita bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo wanasubiria tu kuapishwa

    Msimamizi wa Uchaguzi katika Wilaya ya Arusha Mjini Mh Msena Bina amesema kuwa licha ya tayari kuampeni kuanza siku ya jana lakini wanatarajiwa kufanya uchaguzi katika mitaa 15 peke yake katika kata tofauti ambapo mingine yote wagombea wake wampeta bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo...
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga arejea CCM

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga kutangaza kurejea CCM Tasinga ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa muda wilaya ya Sengerema, alisema sababu mojawapo iliyomsukuma kuondoka Chadema na...
  7. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana. Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime...
  9. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania WABUNGE CHADEMA WALIVYOSHEREHEKEA KURUDI KWA HALIMA MDEE BUNGENI

    Mbunge Joseph Mbilinyi 'SUGU' akitoa Burudani ktk hafla ya Wabunge wa CHADEMA ya kumpongeza Halima Mdee baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria Mikutano miwili ya Bunge, Mdee alisimamishwa kutokana na kuunga mkono kauli ya Prof.Assad kuwa Bunge ni dhaifu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai alalamikia uamuzi wa Halmashauri Kuu kujitoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Amedai kuwa...
  11. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA, ACT-Wazalendo kortini Kilimanjaro

    Moshi. Watu sita wanaoaminika ni wafuasi wa vyama vya upinzani vya Chadema na ACT- Wazalendo, wamefikishwa mahakamani katika kesi mbili tofauti jana Jumatatu Novemba 11,2019 ikiwamo ya kuchoma ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto katika Manispaa ya Moshi. Katibu wa Chadema mkoa Kilimanjaro...
  12. pepekale

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kata ya Gwarama (CHADEMA) na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo jimbo la Buyungu aachana na CHADEMA na kujiunga CCM

    Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM. Pia soma...
  13. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai uchaguzi ufutwe, kuwe na tume huru na marufuku kutumia nembo ya CHADEMA. Kwa tume iliyopo hakuna jipya imejaa magigisi

    Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Mbowe tueleze wanachama wa CHADEMA waliowania uongozi ndani ya CHADEMA ni wangapi?

    Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018. Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema...
  15. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2010 CHADEMA kuzindua kampeni “Tanzania ya wananchi”

    Kampeni hii itakayojulikana kwa jina la “TANZANIA YA WANANCHI” inalenga kuelimisha, kuhamasisha wananchi katika kutambua haki zao za msingi kwa kuzingatia misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo pamoja na mambo mengine inatambua: Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi. Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
  18. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

    Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Vyama 11 vya upinzani visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania, vimetangaza kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hivi ndio vile UMD, NRA, CCK, SAU ,TADEA, PONA, DP na vingine. Hivi ndio mikoa ya ccm, wao ndio huibeba ccm kila CHADEMA inapokataa kushiriki. Nakumbuka waliitwa diamond jubilee baada ya uchaguzi wa 2015 kukubali matokeo baada ya CHADEMA kuyagomea. Imetokea tena, leo wanatoa tamko la pamoja...
  20. Alvin A.

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza: Hivi CHADEMA wamejitoa au wametolewa?

    Ameandika Baba AskofuKalikawe Lwakalinda Bagonza #TUJIULIZE ZAIDI 1. Hivi Chadema wamejitoa au wametolewa? 2. Hivi Chadema wamesusa au Wamesuswa? 3. Hivi Chadema Wameacha au Wameachwa? Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu. - Media haiko na wapinzani...
Back
Top Bottom