chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanateseka sana kutafuta kiki kwa kulazimisha, hawana huruma hata kwenye mambo mengi ya Kitaifa. Wanaligawa Taifa

    Na David Maphone. Nimesoma barua ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iliyosainiwa na Ndugu Tumaini Makene akiitaka Serikali kueleza kwanini Viongozi wa CHADEMA wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa wetu Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Kwanza niseme kweli nimewashanga Sana Viongozi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kiukweli mambo yanaenda kasi sana, Dar bila Makonda wananchi wameshazoea CHADEMA mwendo mdundo

    Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea. Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na...
  3. Chivundu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa CHADEMA kuelekea Oktoba 2020

    Wanabodi. Nawashauri Chadema kwamba: Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura. Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Karibu shujaa Tundu Lissu; Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Hii iwe ngwe ya pili...

    Karibu Shujaa Tundu Antipas Lissu! Tanzania imekuona, Tanzania imeamka. Tanzania imeshtuka kutoka usingizini. Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Ni dhahiri kuwa watanzania wanakupenda ni dhahiri pia kuwa watanzania wameamka. Hawababaishwi tena na pambio za kusifu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
  7. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Mwenyekiti wa Chama...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite? Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu: Jeshi la Polisi na Viongozi wa CHADEMA wana wajibu wa kutunza utulivu

    MAPOKEZI YA TUNDU LISSU: JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA CHADEMA WANA WAJIBU WA KUTUNZA UTULIVU Tarehe 6 Novemba 2005 nilirejea nchini na British Airways kutokea Heathrow, London, Uingereza nikiwa na mke wangu na mtoto wetu wa kiume baada ya kuishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa. Huku Tanzania...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanafanya Janja Janja kumtangaza Mgombea Urais

    Tundu Lissu anatarajiwa kuingia nchini siku ya Jumatatu tarehe 27/07/2020 akitokea Ubelgiji. Taarifa kutoka chanzo kilicho ndani ya chama hicho, ambacho kimsingi hakikubaliani na namna mipango inavyofanywa, zinasema kuwa initially, CHADEMA ilipanga Lissu ashukie katika Uwanja wa Ndege wa Jomo...
  13. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sare za kiume za wanachama wa CHADEMA NA ACT Wazalendo ninyi mnazionaje

    Hivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia. Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani. Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu. Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo. Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au...
  16. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba CHADEMA hawawezi kumdhibiti Tundu Lissu, anafanya anachotaka

    Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama...
  17. sixgates

    JamiiForums Tanzania Wanachopaswa kufanya CHADEMA baada ya Tamko la Polisi

    Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya CHADEMA kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema CHADEMA wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu. Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

    Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji. Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’. Kama hujui maana ya ‘woke’...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Kifo cha Mkapa: Mikutano ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar kupitia CHADEMA yasogezwa mbele

    Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Chama cha CHADEMA kimesogeza mbele mikutano yake ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar Mikutano ya kuwapata Wagombea hao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 ilikuwa ianze Julai 27 hadi Julai 29, 2020 lakini sasa...
  20. Dam55

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
Back
Top Bottom