Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,433
114,448
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

A0395EA3-E27B-443E-9B09-5FDF90DA5076.jpeg

Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona 😄😄
 
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

View attachment 1516592

😂😂😂😂😂
 
Akilizi za kuambiwa na kuona changanya na za kwako.... Je kama hiyo picha ni ya zamani?
 
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

View attachment 1516592

Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona 😄😄
umechunguza kitu ambacho kimewaudhi watu,picha ishaharibika ladha yake
 
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

View attachment 1516592

Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona 😄😄

Social distancing imekuwa relaxed: "You can throw a party in a reception or function room or at your home with a professional caterer. This is allowed with a maximum of 50 persons (including your own family)".
source: Current measures | Coronavirus COVID-19
 
Back
Top Bottom