chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Kifo cha Mkapa: Mikutano ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar kupitia CHADEMA yasogezwa mbele

    Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Chama cha CHADEMA kimesogeza mbele mikutano yake ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar Mikutano ya kuwapata Wagombea hao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 ilikuwa ianze Julai 27 hadi Julai 29, 2020 lakini sasa...
  2. Dam55

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mashabiki wengi wa Tundu Lissu ni wa mitandaoni hawako kamati kuu wala mkutano mkuu wa CHADEMA

    Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku. Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu. CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Ndugu wana bodi. Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais. Ukweli ni kwamba kati ya watu 8...
  5. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe na ni busara pia mkutano mkuu wa CHADEMA uhailishwe

    CHADEMA walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba. i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya Jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku. ii/ Mkutano mkuu wa CHADEMA wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli. Sasa hili matukio...
  6. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

    Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

    Maneno huumba. David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni "Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza "kutumika" Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

    Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe. Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kiliwekeza kwenye majina ya watu badala ya chama. Maeneo ambayo wabunge wao walijiunga CCM hawana wagombea wa maana

    Chama imara hujenga brand name ya chama siyo majina ya watu. CHADEMA huhangaika sana kujenga majina ya watu badala ya chama. Utasikia ohh Mbowe, ohh Mdee, ohh Lissu hakuna zaidi ya hao! Sasa kuna yale maeneo wabunge wa CHADEMA waliohamia CCM kuna ombwe kubwa. Wameweka watu wa ajabu ajabu sababu...
  10. The Boss

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT-Wazalendo na CHADEMA kwanini mko kimya kwa haya?

    Kuna kauli zinatoka na zinahitaji kuungwa Mkono na kila mtu au kupingwa na kila mtu. Binafsi niliposikia Magufuli anasema uchaguzi wa kura za maoni CCM uwe huru na wazi nikaona hii kauli ya kuungwa mkono na kila mtu. Na vyama vya upinzani pia viunge kwa vitendo na kwa maneno kauli hii. La...
  11. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

    Wanaukumbi. Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli. Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kumshawishi Makonda awe mgombea wenu wa Urais kama mlivyomshawishi Lowassa 2015

    Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa. Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo. Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’. Pia, eti...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inakuwaje mtu anagombea Kiti cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?

    CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja? Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI 1. Jimbo Idadi ya Wapiga kura 125 Kura zilizoharibika 6...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

    Hii ni baada ya harakati za BAVICHA za kuelimisha umma kufanikiwa, hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi. Natoa wito kwa CHADEMA Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania. Mungu ibariki CHADEMA
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimetia nia kesho nitamkuchulia fomu ya kugombea Urais Zanzibar, Sheikh Mselem kupitia CHADEMA

    Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020 Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki waznz wengine. Haya ni maono yangu binafsi kama Mtanzania. Kulalamika tu pembeni bila kuchukua hatua...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yetu ya mabadiliko ipo wapi?

    Wanaukumbi, Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona. Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

    Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na...
Back
Top Bottom