Ukweli ni kwamba CHADEMA hawawezi kumdhibiti Tundu Lissu, anafanya anachotaka

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,793
Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.

Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
 
Kwa Lissu CCM mmekwama.

Na hivi che Nkwapa hayupo...imekuwa kwenu na Jiwe lenu bovu
 
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017

"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi" Lissu anatangaza kurejea 2020

"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
 
Nini kibaya kimeendelea sasa, jamaa karudi kapokewa, polisi wamekuwa waungwana na hapajatoa tatizo.

Fujo zinaletwa na vyombo vya dola kuingilia haki za kikatiba kwa lengo la kumkosha "mkoloni mweusi", na kumsaidia asipitie ushindani.

Lazima tujifunze kukubaliana kuwa nchi ni ya wote na kila mmoja ana haki ya kutawala endapo atapata dhamana,na ushindani uwe katika misingi ya haki na usawa.

Tumeona chama hiki kikongwe kikionyesha tabia mbovu ya rushwa katika kuwania nafasi za kugombea ubunge na udiwani, na hakujawa na ukemeaji na uchukuaji hatua thabiti.
Inahitaji kuhamishia akili tumboni ili uweze kwenda sawa na MATAGA kwa kweli.
 
Amelazimisha watu kwenda airport?
Anatishia kujiua? Hahaahaa
 
Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.

Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
Wewe ndiye hujawaelewa usinisemee mimi
Mkapa kafa wakati ratiba ya Lissu kuja ilikuwa imetoka hivyo safari ya kuja ilikuwa lazima na kesho anakwenda kuuaga mwili wa Mkapa ili utafute kichaka cha kuiponda CDM upya
 
Anakuhusu nini wewe lumumba?
Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.

Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
 
Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.

Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
Lazima mikojo ikutoke tu
Screenshot_20200727-172213.jpeg
 
Foolish
 
Back
Top Bottom