Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations). Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM.
CHADEMA hima waanze kukusanya orodha ya majina ya...
Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi.
Endelea kubaki...
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho...
Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni.
Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM.
Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA.
Nassari amewataka...
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu.
Kuna mambo nimeona hapa wakiaminishana eti akiingia Tundu Lissu na CHADEMA kiujumla ndio watakuwa na maisha Bora hiv Nani...
Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko.
Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa...
Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za kuapisha mawakala pengine zisingetokea.
Tusisahau walianza katika zile chaguzi za marudio...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga
Mnyika amesema mawakala hao wamefariki walipokuwa wanawahi ofisi za Mkurugenzi kuapishwa kutokana na utaratibu...
Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa.
=====
Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
Wakati watanzania wakiendelea kutafakari kable ya kuamua watakichagua chama gani kushika dola, miongoni mwa mambo yanayoweza kuwaongoza ni namna ambavyo vyama vya siasa vimezingatia mahitaji ya maeneo wanamoishi wapigakura, na hivyo kata, wilaya na/au mikoa yao. Mbali na kuangalia mahitaji ya...
Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA
Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya.
Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo.
Pia wanajiepusha na lawama ya kushindwa sababu hali yao ni tete.
Kushindwa kwake kutekeleza ahadi zake kwawa mwiba mkubwa...
Suala la kusafirisha mawakala kwenda kula kiapo wasiachiwe wagombea.
Kuna majimbo yana jiografia mbaya sana na hayana mgombea ubunge. Na hata kama yupo hana fedha.
Sasa unakuta safari ya kwenda kula kiapo kwa mkurugenzi na kurudi ni ya kutwa nzima. Na gharama ya kukodi usafiri ni kubwa mno...
Kwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna mkanganyiko kuhusu mahala sahihi pa kuapishwa kwani wengine wanasema ni katani na wengine kwa kurugenzi...