chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Cannabis

    Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  2. J

    Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai. Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika Tsh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho...
  3. J

    Alianza Chacha Wangwe akaja Tundu Lissu na sasa Freeman Mbowe, hivi Chadema kuna nini? Mbona hatusikii kwenye vyama vingine?

    Kiukweli kuna haja ya kutafakari kwa kina kwanini Chadema tu ndio inapitaga katika matukio tata? Ilianza ile ajali ya Chacha Wangwe na ikaacha maswali mengi. Rip Chacha Wangwe Likaja shambulio la Tundu Lisu ambalo bado ni tata na masikini ya Mungu Lisu akapoteza na ubunge. Sasa kuna hili la...
  4. S

    Frustrations: Walitarajia mpaka muda huu CHADEMA iwe imesambaratika na kushindwa hata kutimiza majukumu yake ndani ya Bunge

    Bila shaka haya ndio yalikuwa matumaini yao kuona CHADEMA mpaka kufikia mwisho wa vikao vya Bunge, chama kiwe kimesambaratika mitaani na Bungeni abaki Mbowe labda pengine na wabunge wasiozidi watano ila hali ni tofauti kabisa. Hadi kufikia leo,CHADEMA bado iko ngangari na leo wamesoma Bajeti...
  5. William Mshumbusi

    GE2020 Kwa muelekeo wa hotuba ya Lissu CHADEMA hakiwajui Watanzania kinaweza kisipate hata nusu ya kura ilizopata 2015

    Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani mbinu ya kusaidia chama NI kukisifu tu mitandaoni na sio kukipa mbinu mbadala. Wajue hawaendi kufanya...
  6. jitombashisho

    Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

    Bulaya ni aina ya watu waropokaji na wasio na staha kabisa eti ajabu ndiye Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni! Mnadhimu ni sharti awe mtu mwenye sifa zifuatazo; Uchaji, busara, utii, hekima na msikivu vitu ambavyo yule dada hana...
  7. J

    Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

    Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama. Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri. Zaidi akasema ana taarifa...
  8. J

    Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

    Rais Magufuli ni chaguo la Mungu. Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli" Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu Chanzo: Eatv...
  9. The Palm Tree

    Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

    Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
  10. J

    Ole Sendeka: Mzee Lowassa alishatabiri wapinzani kusikika tena ni baada ya miaka 50 kuanzia 2020, wabunge wa CHADEM kapigeni picha za ukumbusho

    Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza. Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na...
  11. Suley2019

    TAKUKURU kuwahoji Wabunge 69 kuhusu matumizi ya pesa za CHADEMA

    JUNI 10, 2020 TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na...
  12. G Sam

    Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
  13. N

    Chadema, Bila Ujasiri Kuingia Ikulu Ibakie Ndoto

    Hadi sasa, binadamu yeyote angeshasema basi inatosha. Leo Mnalia mitandaoni na Press Conference za Hovyo. Heche, Mnyika, Sugu, Msigwa et al.....mnategemewa sana, ila nanyi mmeonyesha ni wale wale. Hii haivumiliki, mstari mwekundu umevukwa. Enough is enough. Mass action ndio dawa. Esther...
  14. Return Of Undertaker

    Chadema waongea na waandishi habari juu ya shambulio la Mbowe na mtazamo wa chama

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu. Katika tukio hili napo...
  15. Influenza

    Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema leo alfajiri walipokea taarifa kutoka kwa Mbunge wa Viti Maaalum, akiwa na Dereva wa Mbowe, Wilhad Urassa (34) kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA wakati akipandisha ngazi kuelekea ndani kwake inadaiwa alishambuliwa na watu 3 Kamanda Muroto...
  16. Pascal Mayalla

    GE2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

    Wanabodi, Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda...
  17. Mr Tyang

    Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

    Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda. Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma. Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi...
  18. YEHODAYA

    Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

    Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema. Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu. Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi...
  19. Nigrastratatract nerve

    Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  20. Ileje

    Vijana wa leo mnafahamu maana ya rangi za bendera ya CHADEMA?

    Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
Back
Top Bottom