CHADEMA hakika ni chama imara zaidi hapa nchini

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,663
JF
Tangu uchaguzi wa 2015 ulipomalizika na utawala wa JPM ukaanza rasmi ulitangaza nia yake ya kukimaliza kabisa chama cha CHADEMA hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020

Kuna njia mbalimbali zimekuwa zikitumiwa na serikali hii ya ccm ili tu kukidumaza chama hiki lakini mpaka sana kinaonekana bado ni imara zaidi na tishio kwa serikali hii dharimu

Serikali na ccm imezuia shughuli na mikutano ya kisiasa kwa vyama vya upinzani ilihali wao wanafanya siasa na kampeni, chadema hakifanyi lakini bado kipo juu

Ccm kimenunua baadhi ya wabunge na viongozi wa cdm lakini bado chama kimeendelea kuwa tishio kuelekea uchaguzi mkuu

serikali na ccm hii wamekuwa wakizusha kesi kwa wale wote wanaosapoti chadema lakini bado chadema inaendelea kuchanja mbuga

Wapinzani wamekuwa wakitekwa, kupigwa risasi na kufungwa lakini chadema bado kipo imara kinasonga mbele

CDM ndio chama tishio kinajokwenda kuchukua nchi toka mikononi mwa mafisadi na majizi ya ccm

Ni vema ikajulikana kwamba CHADEMA ni taasisi kubwa, akitoka mtu anaingia mtu
 
Chadema naipenda sana nikama maji, usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utayafulia.
 
IMARA KAMA CHUMA
 
Back
Top Bottom